Akaunti za Benki za Mtandao wa Watetezi wa Haki Binadamu Tanzania (THRDC) zimefunguliwa baada ya kufungwa kwa takribani miezi 8

Ni mwendo wa kupiga pesa, kununua miprado, kujenga mighorofa na kuamisha fedha kwenye account zetu za familia kupitia hizi NGO'S.

Sifa ni kuchafua na kua agent wa beberu.
Ni vizuri umewaambia. Hawa kwa sehemu kubwa hufadhiliwa na mabeberu. Kwa maana hiyo mara nyingi hutumika kama mawakala wa mabeberu! Tunawaomba iweni wazalendo. Tusisikie mnaanza kutuletea habari ya LGBT+.
 
Na utasikia Mbunge mmoja amevimbiwa maharage ya mbeya anajitutumua na kusema "Hayati Magufuli jemedari tufuate legacy yake, mpenda haki, Mcha mungu " Juha mwingine wa pembeni yake anagonga meza Kwaa!kwaaa!
🤣 🤣 🤣 🤣 na ndio sababu MAMA kasema mijadala yao haina AFYA kwa taifa, waachane nayo.
Kesho MAMA anahutubia bunge, naamini atawachana sana, ila kwa lugha yake ya upole. Yaani anakudunga sindano na huku anatabasamu
 
Alikuwa anapata faida gani kuzuia hizo account ambazo fedha zingine zinatoka nje kwa wahisani? Au kuongeza umasikini ili tuitane wanyonge
 
Mungu ambariki na amlinde Mheshimiwa Rais wetu Mama yetu kipenzi Samia Suluhu Hassan na kila aina ya ubaya.

Mama aachwe afanye kazi na neema itamfikia kila mmoja wetu.
Madame Presidential anakifahamu kilicho sahihi,wajiandae wale CCM maslahi maana akiwabinya sawa sawa hakika Tanzania itageuka Paradise.After all that's what we want.
 
Ni mwendo wa kupiga pesa, kununua miprado, kujenga mighorofa na kuamisha fedha kwenye account zetu za familia kupitia hizi NGO'S.

Sifa ni kuchafua na kua agent wa beberu.
Usikariri,uchafu gani huo?Je,ni ATCL,sgr,JNHED project au kipi hicho mabeberu wenu wanataka ambacho hamtaki kuwapa?
Hoja ya mabeberu inawadhalilisha CCM Mpya bila kujitambua.Mbuzi jike ninyi?Hofu yenu inatokana na nini?
 
Wako vzr wamejua wakt sahihi wa kusema, anywy uchaguzi umeisha wazifungilie sasa
 
Alikuwa anapata faida gani kuzuia hizo account ambazo fedha zingine zinatoka nje kwa wahisani? Au kuongeza umasikini ili tuitane wanyonge
Alikuwa na maono ya kimasikini mkuu, kwamba kila mtu aishi kimasikini. Wakati wenzetu mataifa yaliyoendelea wanahangaika kutengeneza matajiri (mamilionea) ili wafungue miradi na viwanda kuajiri raia wenzao, sisi tulikazana kuwafilisi matajiri ili waishi kama masikini. Poor way of thinking. Hata ile kauli ya wanyonge, ilikuwa ni kuwapumbaza wa TZ waione upigaji kwenye ndege na miradi mingine
 
Back
Top Bottom