Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,563
- 21,665
Mwanamke mmoja mkazi wa kijiji cha Dumila wilaya ya Kilosa Pendo Mwafiyanga anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoa wa Morogoro kwa tuhuma za kumfanyia vitendo vya ukatili mdogo wake.
Mdogo wake huyo mwenye miaka nane amekatwa na chupa kichwani, alifinywa kwa mkasi pamoja na kuchomwa kwa pasi katika sehemu mbalimbali za mwili wake.
Mdogo wake huyo mwenye miaka nane amekatwa na chupa kichwani, alifinywa kwa mkasi pamoja na kuchomwa kwa pasi katika sehemu mbalimbali za mwili wake.