akatengeneze mlango wangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

akatengeneze mlango wangu

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Castle, Nov 26, 2008.

 1. Castle

  Castle Member

  #1
  Nov 26, 2008
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 87
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Jamaa mmoja alifikishwa mahakamani kwa tuhuma za kumbaka bibi kizee,

  baada ya kusomewa shitaka lake bibi kizee alitakiwa kuelezea ilivyokuwa na kisha kupendekeza adhabu aliyoona inafaa kupatiwa huyo kijana mbakaji.

  bibi kizee:ulikuwa usiku alikuja huyu kijana na kuanza kuvunja mlango wangu mimi nilikuwa namsikia,

  hakimu:endelea.

  bibi kizee:akaingia ndani mpaka kitandani kwangu mimi namuangalia tu,

  hakimu:endelea

  bibi kizee:akanivua nguo zangu zote mimi namuangalia tu.

  hakimu:endelea

  bibi kizee:akaanza kufanya ujinga wake mimi namuangalia tu.

  hakimu:endelea

  bibi kizee:akawa anaenda kushotooooooo mimi naenda kulia, akienda kuliaaa mimi naenda kushoto yeye alidhani mimi siwezi sijui.

  hakimu:sasa kutokana na hilo jambo ulilofanyiwa unaiambiaje mahakama kuhusu adhabu kwa huyu kijana.

  bibi kizee: AKAUTENGENEZE MLANGO WANGU TU.
   
 2. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #2
  Nov 26, 2008
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Teh teh teh
   
 3. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #3
  Nov 26, 2008
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,914
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  Huh!

  Ya leo kali
   
Loading...