Akanyagwa Na Catapilla (Scary)

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,610
1,810
Ni uzembe au Ajari!? Akanyagwa na Catapilla akiwa kazini.
M/Mungu amuweke mahala pepa marehemu...!





Kama una roho nyepesi na huwezi kuangalia picha za kutisha tafadhari usiangalie. Ni picha ya binadamu Mfanyakazi kwenye maeneo ya ujenzi Majengo amepata ajali ya kukanyagwa na Catapilla. Tafadhari sana Picha zinatisha.


Scroll Down to see the Pictures


:
:
:

:
:

:
:


:
:

:
:


:
:

:
:


:
:

:
:


:
:


:
:

fatality001.jpg

fatality002.jpg


 
X-Paster!

Inasikitisha kweli,huyo mtu alikufa kifo cha mateso sana.
Kama huna roho ngumu huangalii,tena ukiwa unakula halafu ukaangalia unaweza kutapika au kupatwa na mshtuko sana.
Inatisha sana. Apumzike kwa amani.
 
arrrrg toa picha hizo wewe XP....hujatuambia kama picha zinatisha kabla ya kuzipost.......watoto wetu watashindwa kuigia JF.......zitoe haraka
 
Mbona kama vile huyo mchina hapo anaendelea na shughuli zake...haonekani kuwa na juhudi za kutoka mwili huo....no polisi....hichi ndio na observe kwa sasa labda kama kuna maelezo zaidi.Ni wapi hapo?
 
ooh hakika inasikitisha- kifo cha namna yake. Mungu aweke roho yake mahali pema peponi. Je ajali hii ilikuwa wapi? Kama ni Tz mbona haijatangazwa?
 
Ama kweli kila mtu atakufa kifo cha namna yake.
Watu wanasema product za kichina ni feki,
kumbe sio products tu hata wachina wenyewe ni feki,
katapila huwa inaenda taratibu sana ,sasa sijui mwenzetu ilikuwaje hadi imsigine?
 
Duu hii picha ingetafutiwa jukwaa jingine lake la picha za kutisha,ili kila mtu mwenye picha za namna hii atume huko.
 
Back
Top Bottom