Akamatwa kwa kuwanyima Watoto haki ya elimu na afya

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,553
2,000
Mwanaume mmoja mkazi wa Kwale amekamatwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuwazuia Watoto wake kwenda shule pamoja na kuwapa huduma za afya

Ndugu, Tumaini Hamisi muumini wa Kanisa la Good News International Church amesema kuwa anaamini elimu ni Ushetani

Ameongeza kuwa Elimu iko kinyume na maagizo ya Mungu hivyo hawezi kuisaliti imani yake

Pia amesema kuwa anaamini Mungu atawafundisha kusoma Watoto wake na wakiumwa atawatibu


======

A man has been arrested in Kwale for denying his children education and medical care on religious grounds.

Mr Tumaini Hamisi, a member of Good News International Church in Likoni who says education is satanic, was arrested at Sheep village in Matuga sub-county on Tuesday.

Mr Hamisi said it was against his faith to take children to school. He said that education was not God's plan.

"Learning does not require one to go to school, it only requires the holy spirit," he told Nation.co.ke on Tuesday.

DEFEND FAITH

He added that through the Holy Spirit, he has known how to read and his children, too, will know how to read.

Mr Hamisi says he does not take his children to hospital whenever they fall sick because the Holy Spirit heals them.

The father of four vowed to defend his faith even it means going to jail.

PARENTS WARNED

Matuga OCPD Joel Cheshire has warned parents who keep their children from school on religious grounds that they will be arrested and prosecuted.

He said it was wrong to deny children right to education, saying the Kenyan Constitution stipulates that every child has a right to free and compulsory basic education

"We will not hesitate to arrest and prosecute parents who deny their children right to education," he said.

-Daily Nation
 

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
19,484
2,000
Pumba sana hizi, haya mambo ya dini usipokua makini unabadilika kuwa zombi. Akamatwe tu maana hamna namna, ni vyema kutumia hekima tuliyopewa na mwenye Mungu.
 

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,776
2,000
Huyo atakuwa mwanaccm aliyehamia kenya, wakenya wana akili kubwa hawawezi kufanya ujinga kama huo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom