AKAMATWA KWA KUUZA NYAMA YA PAKA

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,809
34,193
AKAMATWA KWA KUUZA NYAMA YA PAKA.jpg


Muuza mishikaki mmoja maarufu katika kituo cha daladala cha Temeke mwisho jijini Dar es Salaam maarufu kwa jina la Said Mishikaki, amekamatwa na kupigwa na wananchi kwa tuhuma za kuuza mishikaki ya nyama ya paka. Said alikamatwa jana asubuhi baada ya taarifa kusambaa katika eneo hilo zikimtuhumu kwamba amekuwa na kawaida kuuza mishikaki ya nyama ya paka.
Taarifa zilizopatikana kutoka eneo la tukio zinasema kuwa, baada ya taarifa hizo kuenea, wananchi walilazimika kumtafuta muuza mishikaki huyo ili wamchukulie hatua. Baada ya kumsaka kwa dakika kadhaa, hatimaye walifanikiwa kumkamata na kumkuta akiwa na paka mmoja aliyekuwa amemchinja na kumuweka kwenye ndoo.

Kama wewe ni mla mishkaki ile ya jero jero basi tupia neno moja tu kwa said Mishkaki?
 
Hao wananchi kwakuwa wamejua tu! Kwamba nyama ya paka lakini wakiwa katika anga zao utasikia wakisema "muuzaji ndimu amna, uwe unaweka na ndimu basi."
 
Mmmm! Mmeumia mnaokula visivyo harali kwa uroho wenu ndio maana mnanenepanepa ovyo kwa kura vya barabarani
 
Back
Top Bottom