Akabidhibiwa kapu la sadaka kwa kuwahi kanisani-efatha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Akabidhibiwa kapu la sadaka kwa kuwahi kanisani-efatha

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Oct 14, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,314
  Likes Received: 5,643
  Trophy Points: 280
  Dada mmoja majuzi amekabidhiwa kapu zima la sadaka kwa kuwahi kanisa la efatha kila siku na kumjali mungu kamaa anavyoheshimu kazi yake..dada huyo mfanyakazi wa ndani wa dada mmoja msilam...amekuwa na wakati mgumu lakini mungu aliweza kumwinua yule dada akaanza kumpa kibali cha kuja kanisani....kumekuwa na wakati mgumu makanisa mengi watu wanaingia muda wanaotaka makanisani..cha ajabu j3 watu saa kuminamoja wako barabarani...mungu awatie nguvu wote tuweze kumjali na kufika kanisani muda muafaka......
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Oct 14, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Huh!...kapu zima la sadaka!...wastani wa laki 3 bure!...huyo bosi wake msilamu lazima nae ataenda kujiunga!Tatizo la kuchelewa makanisani na misikitini ni kubwa sana, labda motisha kama hizi zitasidia kwa wale wenye imani za kusuasua! Maana hata Yesu aligawa mikate na samaki bure, na wengi wakamfuata kwa hilo!
   
 3. B

  Baba Mkubwa JF-Expert Member

  #3
  Oct 14, 2009
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 770
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35

  Hahahahahahahahahahahahaaa kaka ulizihesabu, ukakuta laki 3? na boss wake atajiunga kwasababu ya hizo laki 3 au?
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Oct 14, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,314
  Likes Received: 5,643
  Trophy Points: 280
  Huh!...kapu zima la sadaka!...wastani wa laki 3 bure!...huyo bosi wake msilamu lazima nae ataenda kujiunga!Tatizo la kuchelewa makanisani na misikitini ni kubwa sana, labda motisha kama hizi zitasidia kwa wale wenye imani za kusuasua! Maana hata Yesu aligawa mikate na samaki bure, na wengi wakamfuata kwa hilo!


  ooooooh kaka kwa lile kanisa watu zaidi ya 600 per trip..aisee zaidi ya laki 3...ningekuwa miimmi nami ningeenda kumpa mwajiri wangu kwa kumbariki ili nibarikiwe zaidi.....
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  Oct 14, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,314
  Likes Received: 5,643
  Trophy Points: 280
  kwa kweli tangu akabidhiwe yule dada kumekuwa na mahudhurio mazuri sana
  sana sana kupita kiasi sidhan kwa ajili ya kupokea kapu ila yawezekana ilikuwa ni nguvu ya mungu kumtumia yule dada kuwawahisha watu makanisani...
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Oct 14, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Hata mimi nimempenda huyo dada bure!...Anaonyesha ni mtiifu sana na ana hofu ya Mungu na si ya wanadamu...Mungu ambariki zaidi, maana Biblia inatuambia..."Komboeni wakati"...!
   
 7. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #7
  Oct 14, 2009
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Bado haijaniingia akilini ivi Kanisani ni maudhurio au Imani?
   
 8. B

  Baba Mkubwa JF-Expert Member

  #8
  Oct 14, 2009
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 770
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Sasa jamaa muanzilishi wa thread atajuwaje kiwango cha imani cha huyo dada? Mahudhuri ni rahisi kujuwa, si unaangalia kaja leo au la....kwenye swala la imani, sidhani kama P.didy anaweza kusema dada anaimani nzuri, nzuri sana, wastani.....ni mtazamo wangu ambao unaweza ukawa si wa kweli au wa kweli
   
 9. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #9
  Oct 14, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,314
  Likes Received: 5,643
  Trophy Points: 280
  Sasa jamaa muanzilishi wa thread atajuwaje kiwango cha imani cha huyo dada? Mahudhuri ni rahisi kujuwa, si unaangalia kaja leo au la....kwenye swala la imani, sidhani kama P.didy anaweza kusema dada anaimani nzuri, nzuri sana, wastani.....ni mtazamo wangu ambao unaweza ukawa si wa kweli au wa kweli


  UKO SAWA BABA MKUBWA!!!

   
 10. Mkaguzi

  Mkaguzi JF-Expert Member

  #10
  Oct 14, 2009
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 249
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Imani chanzo chake kuckia sasa ucpowahi kanisani ili uckie utaipata wapi hiyo imani?
   
 11. J

  Joyceline JF-Expert Member

  #11
  Oct 15, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 1,010
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  hujaelewa siyo mahudhurio na kutii pia. kufika kanisani kwa wakati siyo uanfika ibada iko nusu
   
 12. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #12
  Oct 15, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,390
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  Kumbuka lakini imani ya walio wengi chanzo chake kuona,embu fikiria mtu angekuambia kuwalitmus paper hubadilika rangi ukiichovya kwenye ndimu,pasipokujaribu naimani usingeamini!!!
   
 13. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #13
  Oct 15, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ..Kapu zima la sadaka? msije kukuta kulikuwa na sh.1,500 tu!!!
   
 14. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #14
  Oct 16, 2009
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hii habari imekaa kiudaku udaku. Jamani hakuna mshirika wa Efatha hapa atupe uhakika? Maana Pdidy huwa simwamini 100 % kwa kuwa huwa ana habari nyingi za kupika.
   
 15. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #15
  Oct 16, 2009
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  kweli huyo dada anastahili pongezi. kama kuna mtu anamfahamu naomba amwambie nampenda, ikiwezekana nimuwowe
   
 16. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #16
  Oct 16, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,314
  Likes Received: 5,643
  Trophy Points: 280
  Hii habari imekaa kiudaku udaku. Jamani hakuna mshirika wa Efatha hapa atupe uhakika? Maana Pdidy huwa simwamini 100 % kwa kuwa huwa ana habari nyingi za kupika.

  NABII HAAMINIKI NYUMBANI KWAKE...SIO KOSA LAKO

  MPANDWA HUNA AJA YA KUULIZIA MTU UKU NI VIZURI UKAKARIBIA MADHABAHU YA EFATHA KIINGILIO BURE...HUYO AKUWA WA KWANZA
  LABDA UKIAMINI KWA MACHO YAKO NDIPO UTAWAHI KUJA KANISANI

  UNAKARIBISHWA MPENDWA MAZINGIRA
   
 17. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #17
  Oct 16, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  nyie acheni utani bana, imani si kiivo....... staying in a garage for long hrs does not turn you into a car nor does it being in the church on time and staying until down turn you into holy than thou. Sawa!
   
 18. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #18
  Oct 16, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  ukitaka bidhaa yako iuzike unapunguza bei!!! same principle here!! nouthing less, nothing more.
   
Loading...