Ajitangaza kuwa shoga;aombwa uwamuzi wake uheshimiwe!!!loh | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajitangaza kuwa shoga;aombwa uwamuzi wake uheshimiwe!!!loh

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Oct 19, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,470
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  [TABLE="width: 491"]
  [TR="bgcolor: #e1e1e1"]
  [TD]Wednesday, October 19, 2011 2:19 AM
  Mtangazaji wa taarifa ya habari wa televisheni ya ABC ya Marekani amwashangaza watu kwa kujitangaza LIVE kuwa yeye ni shoga wakati wa taarifa ya habari.[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 3"]Dan Kloeffler mtangazaji wa televisheni ya ABC ya Marekani aliwashangaza watu wengi waliokuwa wakifuatilia taarifa ya habari baada ya kujitangaza live kuwa yeye ni shoga.

  Dan alichukua uamuzi huo wakati akimuelezea mcheza sinema wa filamu ya Star Trek, Zachary Quinto ambaye alijitangaza hivi karibuni kuwa yeye ni shoga.

  Zachary alisema kuwa ameamua kuweka wazi kuwa yeye ni shoga ili kuunga mkono harakati za kupinga kunyanyaswa kwa mashoga pale wanapojitangaza wazi kuwa ni mashoga.

  Hivi karibuni Jamey Rodemeyer kijana mwenye umri wa miaka 14 wa New York alijiua mwenyewe baada ya wanafunzi wenzake kumtania na kumkebehi sana baada ya mwanafunzi huyo kujitangaza kuwa ni shoga.

  Katika taarifa ya habari ya ABC, Dan alijitangaza kuwa yeye ni shoga akisema kuwa ameamua kujitangaza sasa kuwa yeye ni shoga lakini familia yake na marafiki zake wanajua kuwa yeye ni shoga kwa muda mrefu.

  Dan alisema kuwa ameamua kujitangaza ili kuwahamisha mashoga wanaoogopa kujitangaza kwa kuhofia baadhi ya watu katika jamii kuwakebehi na kuwanyanyasa kutokana na tabia yao hiyo ya kwenda kinyume na maumbile.[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 3"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 3"][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,470
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  Masikini hata 65 aajafikisha kaamua kumwaga radhi
   

  Attached Files:

 3. happiness win

  happiness win JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,478
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Kimtokacho mtu ni kile kilichoujaza moyo wake
   
 4. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2011
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,164
  Likes Received: 10,512
  Trophy Points: 280
  Mungu turehemu viumbe wako.
   
 5. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #5
  Oct 19, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Dunia ilishaisha siku nyingi...
   
 6. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Pumbafuuuuuuuuuu!......................
   
 7. Hute

  Hute JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,059
  Likes Received: 3,922
  Trophy Points: 280
  watangazaji wengi ni mashoga hata hapa tz, huwa huoni wanavyojirembaremba, kujisugua sana sura na kuweka poda, kutengeneza mdomo kwa kuminyaminya wakati wanapoongea kama wadada vile...nachukia ushoga kuliko kito chochote, na kama ninayo bunduki kwenye uchochoro, nikamkuta mtu shoga naweza kumlipua na risasi akafie mbali huko.
   
 8. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #8
  Oct 19, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Ninaomba anitafute anitunuku mie maana naona kaamua sasa tumsaidie tu.
   
 9. the grate

  the grate JF-Expert Member

  #9
  Oct 19, 2011
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 205
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lord help us
   
 10. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #10
  Oct 19, 2011
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Du!! tumuombe mungu yaishie huko huko maaana tunavyopenda kuiga hukosi kusikia na hapa watu wanaanza kutangaza huo upuuzi
   
 11. s

  shosti JF-Expert Member

  #11
  Oct 19, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  hawa mashoga badala ya kuwazomea tungekuwa tunawahurumia na kuwaombea kwa mungu waondokewe na shetani mbaya alowapata...wiki zilizopita nimeenda dukani usiku usiku hivi sasa akaja jamaa mtu mzima hasaa akawa anamuuliza muuza duka amwelekeze kitu fulani ila kaficha uso wake kwa kofia...wakati amesogea karibu kukawa na harufu kali ya kinyesi sasa kimbembe wakati anatembea unajua namna mtoto mdogo alojisaidia haja kubwa kwenye chupi anavyotembea ndivyo alivyokuwa anatembea,kufika mbele anatuchungulia kwa chini ya kofia kama tunamuangalia akakuta mie ndo nimekaza jicho nafanya ukaguzi ni huruma kwa kweli...tangu usiku ule nimepata kitu kipya kuhusu hawa jamaa badala ya kuwazomea na kuwasemea maneno mbofumbofu inabidi tuwatie kwenye sala zetu na mungu atafanya wepesi kwa kweli.
   
 12. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #12
  Oct 19, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  mungu na atuepushie tu jehanamu.......ameeeeeen!
   
 13. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #13
  Oct 19, 2011
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Heading imenishtua, Nilijua ni KIBONDE kaamua kuweka mambo hadharani.
   
Loading...