Ajira za walimu

matimbwa

New Member
Jan 9, 2012
1
0
Ni muda mrefu sasa umepita tangu wahitimu wa ngazi mbalimbali katika fani ya elimu wahitimu masomo yao kwa mategemeo ya kupata ajira kwa ajili ya maisha yao ya kila siku, lakini cha kushangaza hadi dakika hii hakuna dalilin yoyote kuhusiana na hizo ajira. Kwa napenda kuchukua nafasi hii kuwauliza serikali kupitia wizara ya elimu ni lini hasa watatoa hizo ajira mana watu wamechoka kusubiri na mashuleni hakuna walimu wa kutosha, waache siasa ya leo kesho kama kuku na wanae.
 
Back
Top Bottom