Tetesi: Ajira za walimu zilizoombwa mwezi wa pili

Ni shida sna hapa watu ni pressure tu wanawaza kama matokeo ya darasa la saba
 
Yanaandaliwa mazingira ya watu kupiga pesa!!!! Baadaye kidogo watu wataanza kutoa wito kwa anayetaka kuangaliziwa atume kiasi fulani cha pesa na namba yake ya simu ili aangaliziwe fasta!!! Ni yale yale yaliyofanyika kwenye matokeo ya darasa la saba na uchaguzi wa kuingia sekondari form 1.
 
Back
Top Bottom