Ajira za walimu grade 3a lini na wanaanza na kiwango gani cha mshahara?

Basic 277,000 take home 236,000 hizi zote pesa za kibongo. post ni kati ya tarehe 5 na 15 January.
 
Mkuu kwa mujibu wa waraka uliotolewa na serikali (Julai 2012),mshahara wa mwalimu anayeanza
diploma 277000 tsh na wa cheti ni 223000 tsh kwa mwezi!
:flock::flock:
 
Hujui dogo, Diploma anaanza 370,000 take home 325,700.
 
acha ubishi wewe tafuta waraka wa mishahara ya watumishi wa serikali uliotolewa mwaka huu.....
mwalimu mwenye diploma anaanza na ngazi ya mshahara TGTS B1 na wa cheti TGTS A1
 
Mwaka jana dip anayeanza ilikuwa ni 287,000/=Tsh baada ya kuengezewa nyongeza ya 14% ina maana dip anayeanza atakuwa analipwa 327,180/= I think u get it.
 
Kwa mujibu wa waraka wa elimuDiploma anaanza na TGTS C1 ambayo ni 370000 na Cheti ni TGTS B1 Ambayo ni 277000.Zote hizo ni basic salary
 
Du siutan hayo maneo 2 kila mmoja ana lake hapo sasa asimame na lp huyo alyetaka kujua,mm napita jaman
 
Kwa mujibu wa waraka wa elimuDiploma anaanza na TGTS C1 ambayo ni 370000 na Cheti ni TGTS B1 Ambayo ni 277000.Zote hizo ni basic salary

na ile ngazi ya TGTS A ndo wanalipwa walimu wa namna ipi tena?
huo waraka wa elimu ni wa mwaka gani?je, unatofauti na waraka wa jumla(kwa watumishi wote) ulitolewa na serikali julai 2012?
 
kwani waraka wa July unasema Basic ni sh ngapi na take home ni sh ngapi?
 
Huwa nikisoma post za watu humu naishia kucheka tu. Asiyejua anakuwa mbishi kupita kiasi na kuwalisha watu upepo. Kama hujui si ukae kimya
 
acha ubishi wewe tafuta waraka wa mishahara ya watumishi wa serikali uliotolewa mwaka huu.....
mwalimu mwenye diploma anaanza na ngazi ya mshahara TGTS B1 na wa cheti TGTS A1
huo ubishi wenu mngeleta hapa huo waraka tungejua nani yuko kweli!!
 
Back
Top Bottom