Tetesi: Ajira za walimu 2016

Poleni sana wanaa hata ss mwakajana tulikuwa na wakatisha tamaa na watia moyoo ,chamsingi pokea kila taarifa Bali usiamini kila taarifa mbaka uisibitishee kwenye vyombo vya habari kana TV na redio
 
aa6e71a3ea48ae7e110be986f3adb56a.jpg

Kwahiyo waziri kalidanganya bunge tar.27 (jana)?

Anaweza kuwa alidanganya bunge, wananchi, na dunia kwa ujumla, maana mwezi mei ndio huu unaisha bila TAMKO lolote, MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU MBARIKI RAIS WETU.
 
Hawa majamaa mi hata siwaelewi. Watu wameshindwa kufanya shughuli zao binafsi wakiamin kesho zitatoka. Dah yani toka mwezi januari hadi leo tunanusa wa sita. Ngoja tuone mwisho wake utakuaje
 
Hawa majamaa mi hata siwaelewi. Watu wameshindwa kufanya shughuli zao binafsi wakiamin kesho zitatoka. Dah yani toka mwezi januari hadi leo tunanusa wa sita. Ngoja tuone mwisho wake utakuaje
Hawa jamaa watu wa ajabu sana, bora wangesema kama n mwakani watu wakajua, lakini waliposema mwezi mei, mei inaisha hv utadhan wamejisahaulisha vile, bora hata watoe tu ili tujue kama tumo au hatumo alafu hata waksema kazn kwenda kuripot n mwakan hata shda haipo.
 
Labda wanasubiri bajet ya mwaka ujao ianze ambao ni mwezi wa 7 au nyie mnataka muajiliwe harafu msilipwe miezi 6?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom