Kwani waziri si keshawatangazia mwezi mei zimetengwa bil 17.sasa wadau nani tumwamin? mbona kauli zinakuja nyingi na zenye kupishana?
Kwahiyo waziri kalidanganya bunge tar.27 (jana)?
Hawa jamaa watu wa ajabu sana, bora wangesema kama n mwakani watu wakajua, lakini waliposema mwezi mei, mei inaisha hv utadhan wamejisahaulisha vile, bora hata watoe tu ili tujue kama tumo au hatumo alafu hata waksema kazn kwenda kuripot n mwakan hata shda haipo.Hawa majamaa mi hata siwaelewi. Watu wameshindwa kufanya shughuli zao binafsi wakiamin kesho zitatoka. Dah yani toka mwezi januari hadi leo tunanusa wa sita. Ngoja tuone mwisho wake utakuaje