Ajira za wageni Coral Paint(kiwanda cha rangi) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajira za wageni Coral Paint(kiwanda cha rangi)

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by dagaa, Nov 30, 2011.

 1. dagaa

  dagaa JF-Expert Member

  #1
  Nov 30, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 255
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 80
  Habari zenu, mimi naweka kilio changu kwa wizara ya kazi, waje wakague katika kiwanda cha coral, kipo chang'ombe barabara ya mbozi road, tatizo wahindi wamekuwa wengi na wana roho mbaya, kila kitengo ni wahind tena kibaya wanawaleta direct from india na wanalipwa kwa dola na wanapangishiwa nyumb na magar juu na watoto kupewa elimu bure.

  Lakin mtanzania anapewa vijicent, yani cheo kinachoitwa meneja au supervisor apewe mswahili ni ndoto, ni mwindi, kuanzia hr, store, sales navyeo vingine kibao, halafu hawaj
   
 2. TECHMAN

  TECHMAN JF-Expert Member

  #2
  Nov 30, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 2,677
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  What .........................................................................................finish up au boss kakufumania kwahiyo umepost bila kumaliza? alafu nanyie manaendekeza hao wahindi, wafanyieni kitu mbaya.
   
 3. Konda wa bodaboda

  Konda wa bodaboda JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2016
  Joined: Jul 18, 2014
  Messages: 8,080
  Likes Received: 3,211
  Trophy Points: 280
  Wizara ya kazi na uhamiaji wailipita hapo kiwandani tangu JPM awe rais?
   
 4. Usedcountrynewpipo

  Usedcountrynewpipo JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2016
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 3,697
  Likes Received: 2,171
  Trophy Points: 280
  Ngoja wazawa tujikite kwenye ajira za serikali hasa ualimu. Maana viwanda vyote wamejaa wageni...
   
 5. misasa

  misasa JF-Expert Member

  #5
  Jun 8, 2016
  Joined: Feb 5, 2014
  Messages: 5,439
  Likes Received: 2,519
  Trophy Points: 280
  Ili suala aliwezi kuisha kamwe kwa siasa za Tanzania
   
 6. mgangawaukoo

  mgangawaukoo JF-Expert Member

  #6
  Jun 8, 2016
  Joined: May 8, 2016
  Messages: 2,231
  Likes Received: 2,325
  Trophy Points: 280
  Tutafika tu pamoja ni kwa maumivu !
   
 7. Zinduna

  Zinduna JF-Expert Member

  #7
  Jun 8, 2016
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 2,384
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Mhindi bado ndiye anayeendesha uchumi wa nchi hii kwa hiyo msitarajie kutakuwa na mabadiliko katika suala Zima la ajira kwa wageni. Juzi tu naangalia TV mkutano wa TIC waliohudhuria wenye rangi nyeusi ni wa kutafuta kwa tochi wengi wao wanaoitwa wamiliki wa viwanda ni wahindi na waarabu. Kelele za majukwaani hazina tija hao uhamiaji mpaka leo hawajasema ni wageni wangapi ambao wanafanya kazi ambazo zingeweza kufanywa na Wantanzania wameondolewa nchini Zaidi ya kujiongezea ulaji tu kwa kupiga dili. Shame!

  Hebu miye nijiuzie zangu Tende na Halua maisha yanedelele
   
 8. tembajr

  tembajr JF-Expert Member

  #8
  Jun 8, 2016
  Joined: May 27, 2016
  Messages: 258
  Likes Received: 201
  Trophy Points: 60
  sio kiwanda icho tuu viwanda vipo vingi hapo chang'ombe na sehemu zinginezo waindi ndio wanapewa vyeo mtanzania anaishia kuwa kibarua na dereva tuu wanaajiriwa wachache mno hivyo ndivyo ilivyo pia kuna kiwanda hapo hapo chang'ombe mainjinia ni wakenya na waganda wanawalipa vizuri sana kana kwamba tz hakuna ma Eng.
   
Loading...