Mimi najiuliza aliyekwamisha ajira hizi ni ndugu kutoka chato? Au mawaziri husika? Maana kumekua na Dana Dana nyingi toka mheshimiwa ahamie magogoni hakuna ajira wala nini na hawa waalimu serikali inawadai pesa nyingi sana(boom) na istoshe kama mmebadili Sera kwanini muanze ghafla kwa watoto wa wakulima? Haya mmekuja toka mwaka Jana eti mnaajiri sayansi haya mbona hamjaajiri zaidi ya miez minne toka watume vyeti awamu ya kwanza mi naona kama hampo serious kabisa bora mseme hakuna ajira sisi tuamue 2020 maamuzi sahihi tukiwa tushakuwa wakulima