Ajira za vijana tuliosoma fani za mafuta na gesi

Hashimu lwenje

JF-Expert Member
Oct 2, 2017
415
359
Ajira za vijana tuliosoma fani za mafuta na gesi

Ajira za vijana tuliosoma fani za mafuta na gesi

Wizara ya nishati tunaomba mtusaidie kutatua hili tatizo, la ajira kwa sisi vijana tulio somea fani hizi za mafuta na gesi.

Wapo vijana walio somea fani ya
uhandisi wa mafuta na gesi, wapo waliosomea kemia ya mafuta na gesi
lakini pia wapo vijana waliosomea jiolojia ya mafuta na gesi.
 
Mm nafikiri. Hili swala lilikuzwa sana tena sana. Kwa nafac ya industry hii hapa Tanzania. Mm nilifikir zilitakiwa zitangulie kwaza degree za pili za hayo mambo. Watu wenye background mbali mbali za science na engineering.Kwasababu siku zote hii sector inakuwa na burst za kila aina.Moja ya burst kubwa ni ajira zake.
 
Kwa nini msijikusanye mkaanzisha kampuni lenu la kusambaza gesi LNG?
Mkisubiri ajira mtaula wa chuya,mfumo wa ajira wa serikali ni kwamba aliepo mpaka asataafu au afe ndipo uajiriwe wewe,na kama kuna mtu ana Bcom lakini ana expirience atapelekwa kusomeshwa
 
Ahsante kwa ushauri mzuri
 
Mm nafikiri. Hili swala lilikuzwa sana tena sana. Kwa nafac ya industry hii hapa Tanzania. Mm nilifikir zilitakiwa zitangulie kwaza degree za pili za hayo mambo. Watu wenye background mbali mbali za science na engineering.Kwasababu siku zote hii sector inakuwa na burst za kila aina.Moja ya burst kubwa ni ajira zake.
sasa bado ninaendelea kukuzwa, bado wanaendelea kupeleka watu wakasome hizi kozi nchi za nje. Na gharama zinazo tumika ni nyingi, hapo inakuwaje,
 
Mm nafikiri. Hili swala lilikuzwa sana tena sana. Kwa nafac ya industry hii hapa Tanzania. Mm nilifikir zilitakiwa zitangulie kwaza degree za pili za hayo mambo. Watu wenye background mbali mbali za science na engineering.Kwasababu siku zote hii sector inakuwa na burst za kila aina.Moja ya burst kubwa ni ajira zake.
sasa bado linaendelea kukuzwa, bado wanaendelea kupeleka watu wakasome hizi kozi nchi za nje. Na gharama zinazo tumika ni nyingi, hapo inakuwaje,
 
Ajira za vijana tuliosoma fani za mafuta na gesi

Ajira za vijana tuliosoma fani za mafuta na gesi

Wizara ya nishati tunaomba mtusaidie kutatua hili tatizo, la ajira kwa sisi vijana tulio somea fani hizi za mafuta na gesi.

Wapo vijana walio somea fani ya
uhandisi wa mafuta na gesi, wapo waliosomea kemia ya mafuta na gesi
lakini pia wapo vijana waliosomea jiolojia ya mafuta na gesi.
Hii degree unatakiwa kuwa na connection aisee. Binafsi naona ukiwa na connection unatoboa. Kuna jirani yangu ni petroleum engineer, anapiga job Saudi Arabia. Kwanza home kwake ana Land Cruiser new model 4, Ranger Rover 2, LC Prado 2 na Rav4 new model 4. Anaenda site 3 weeks, 1 week kupumzika. Kupumzika analipiwa ticket back to Tz na kurudi. Huyu jamaa sina mazoea nae, kwanza hakai home sana. Muda mwingi kwa michepuko. Kila mchepuko ana Nyumba, akija anawaachia 1m each .

Okay enough data. In short kazi zipo nje ya Tz kwa sasa. Na ukipata utaona kawaida kuonga Range Rover Sport. Trust me, huyu mshikaji marafiki zake wote life is good. Good luck!!!

-callmeGhost
 
huo sasa ni umbea Nani amekuuliza yote hayo..kuhusu jirani yako huyo Acha shobo
 
Hii degree unatakiwa kuwa na connection aisee. Binafsi naona ukiwa na connection unatoboa. Kuna jirani yangu ni petroleum engineer, anapiga job Saudi Arabia. Kwanza home kwake ana Land Cruiser new model 4, Ranger Rover 2, LC Prado 2 na Rav4 new model 4. Anaenda site 3 weeks, 1 week kupumzika. Kupumzika analipiwa ticket back to Tz na kurudi. Huyu jamaa sina mazoea nae, kwanza hakai home sana. Muda mwingi kwa michepuko. Kila mchepuko ana Nyumba, akija anawaachia 1m each .

Okay enough data. In short kazi zipo nje ya Tz kwa sasa. Na ukipata utaona kawaida kuonga Range Rover Sport. Trust me, huyu mshikaji marafiki zake wote life is good. Good luck!!!

-callmeGhost
Dah... Nashangaa sana kwanini wabongo wanafunga kamera za cctv
 
Siasa mbaya sana Anza course ingine Mechanical, Electronica , Civil au Comp science you won't regret
 
Bora ya mimi niliyesomea BACHELOR OF PORN IN VIAGRA MANAGEMENT AND DEATH ASSUARANCE
 
Ajira za vijana tuliosoma fani za mafuta na gesi

Ajira za vijana tuliosoma fani za mafuta na gesi

Wizara ya nishati tunaomba mtusaidie kutatua hili tatizo, la ajira kwa sisi vijana tulio somea fani hizi za mafuta na gesi.

Wapo vijana walio somea fani ya
uhandisi wa mafuta na gesi, wapo waliosomea kemia ya mafuta na gesi
lakini pia wapo vijana waliosomea jiolojia ya mafuta na gesi.
Nikajua nyie watalaam na madude yenuu ajira nje nje ,,kumbe Mzee kakaza vyuma kote kote
 
sasa bado linaendelea kukuzwa, bado wanaendelea kupeleka watu wakasome hizi kozi nchi za nje. Na gharama zinazo tumika ni nyingi, hapo inakuwaje,
Kuwepo kwa watu kuendelea kusomeshwa hilo siyo tatizo. Kuwaongezea maarifa ya watanzania hilo jukumu kwa upande wa serikali na sekta nzima liko palepale.Swali ni kwamba uwwpo wa ajira unategemea na ukwekezaji mpya na ukuaji wa teknologia. Kwa tanzania kwasasa hakuna uwekezaji mkubwa ambao unachochea ongezeko la ajira. Ukienda texas utakutana wataalamu mbalimbali wa ngazi za kidunia wakiwa unemployeed ni kawaida kwa sekta hii ya mafuta na gesi.Stage ya pili Ya uzalishaji mkubwa ktk matumizi na utumiaji ndio utatugarantee ajira nyingi za jumla. Kama za viwanda vya kemikali, mbolea, liquefications nk. Ila kwasasa ni vigumu kuwa na stable employment opportunity.Kikubwa nikujaribu kuomba kazi kwenye nchi za arabia labda.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom