Ajira za vijana tuliosoma fani za mafuta na gesi

Hivi hukuona coz ya kiswahili???
Tz hii na mafuta wap na wap?
Ukipata offa ya kwenda libya au uarabuni utatusua
 
Kwa ajila hizo jaribuni nchi wanaozalisha mafuta sana sana za Uarabuni kama dubai huko saudia nk huko mnaweza pata mashavu
 
Kuwepo kwa watu kuendelea kusomeshwa hilo siyo tatizo. Kuwaongezea maarifa ya watanzania hilo jukumu kwa upande wa serikali na sekta nzima liko palepale.Swali ni kwamba uwwpo wa ajira unategemea na ukwekezaji mpya na ukuaji wa teknologia. Kwa tanzania kwasasa hakuna uwekezaji mkubwa ambao unachochea ongezeko la ajira. Ukienda texas utakutana wataalamu mbalimbali wa ngazi za kidunia wakiwa unemployeed ni kawaida kwa sekta hii ya mafuta na gesi.Stage ya pili Ya uzalishaji mkubwa ktk matumizi na utumiaji ndio utatugarantee ajira nyingi za jumla. Kama za viwanda vya kemikali, mbolea, liquefications nk. Ila kwasasa ni vigumu kuwa na stable employment opportunity.Kikubwa nikujaribu kuomba kazi kwenye nchi za arabia labda.
ni kweli kama unavyosema kwamba kusomesha ni jukumu la serikali well and good. ukiongea na wataalamu wa sekta hii ya gesi na mafuta watakuambia bado industry yake hapa bongo haijakomaa sana. in short, bado inahitaji muda kukua na kuzalisha ajira na hiyo itatokana na uwekezaji kama ulivyozungumza.

la msingi hapa ni kuifanya serikali iwe na msukumo wa kutafuta wawekezaji hasa katika sekta hii ili hii manpower inayotengenezwa kila kukicha isikae tu na mwisho skills za watu hawa zikapotea bure.

hapa serikali haina budi kuingilia kati

ila hapo kwenye black duuuuuhhhhh . . . . . inataka moyo
 
Hii degree unatakiwa kuwa na connection aisee. Binafsi naona ukiwa na connection unatoboa. Kuna jirani yangu ni petroleum engineer, anapiga job Saudi Arabia. Kwanza home kwake ana Land Cruiser new model 4, Ranger Rover 2, LC Prado 2 na Rav4 new model 4. Anaenda site 3 weeks, 1 week kupumzika. Kupumzika analipiwa ticket back to Tz na kurudi. Huyu jamaa sina mazoea nae, kwanza hakai home sana. Muda mwingi kwa michepuko. Kila mchepuko ana Nyumba, akija anawaachia 1m each .

Okay enough data. In short kazi zipo nje ya Tz kwa sasa. Na ukipata utaona kawaida kuonga Range Rover Sport. Trust me, huyu mshikaji marafiki zake wote life is good. Good luck!!!

-callmeGhost
Kwahiyo ana gari 12 zimepaki nyumbani tu? Au mimi sijakuelewa
 
Hapo kuna ka uwongo. Unasema huna mazoea nae, swali ni ulijuaje kuwa anahonga 1m kwa mchepuko kila akirudi nyumbani?
 
Hapo kuna ka uwongo. Unasema huna mazoea nae, swali ni ulijuaje kuwa anahonga 1m kwa mchepuko kila akirudi nyumbani?
Huwa sicomment kwenye thread more than once... Ila sijui wewe unaishi katika community gani. Lakini mimi neighborhood yangu tuna kawaida ya kila jioni ambayo tutakuwa tunapesa, au mmoja wetu ana pesa, tunatoka hapo barabarani tunapata vinywaji. Huyu dada ni moja ya watu tunaekaa nae. So unakuta anaanza kumsifia Mshikaji. Mara 'oh Leo kaniachia 1.2m, leo amenipa 1.7m za matumizi huu mwezi'. Hivyo. Which is very true kwani hafanyi kazi wala nini, anaweka mafuta kwenye gari, shopping kila Thursday and Saturday... Either way, my main point is Petroleum Engineering ina Pesa ukipata kazi in countries which are rich in oil. Whether you take Petroleum or chemical engineering, you are gold in those countries.

someone aisee sitaquote your comment but nakujibu hapa hapa. Umeuliza hayo magari 12 yanapaki tu Nyumbani? Hapana, in fact each day has it's own cars. Hatumii gari moja, na ana jivunia. Akiwa away kama now, naona ndugu zake wana ya drive but, mostly akirudi yote yanakuwa parking lot kwake. Hii ni moja ya ndoto zangu, kwani sio wewe tu unaeuliza, kuna watu wanasema jamaa atakuwa muuza madawa ya kulevywa, kwanini magari yote yanapaki kwake. Mwenyewe nataka siku niwasemeshe watu. Ni hayo tu.

-callmeGhost
 
Back
Top Bottom