Ajira za vijana tuliosoma fani za mafuta na gesi

Jikusanyeni mfungue consultancy firm yenu,mpige visemina na warsha mbalimbali while building your network.
 
Hahahah hizo ajira ziliondoka na mh prof Muhongo
Kuwepo kwa watu kuendelea kusomeshwa hilo siyo tatizo. Kuwaongezea maarifa ya watanzania hilo jukumu kwa upande wa serikali na sekta nzima liko palepale.Swali ni kwamba uwwpo wa ajira unategemea na ukwekezaji mpya na ukuaji wa teknologia. Kwa tanzania kwasasa hakuna uwekezaji mkubwa ambao unachochea ongezeko la ajira. Ukienda texas utakutana wataalamu mbalimbali wa ngazi za kidunia wakiwa unemployeed ni kawaida kwa sekta hii ya mafuta na gesi.Stage ya pili Ya uzalishaji mkubwa ktk matumizi na utumiaji ndio utatugarantee ajira nyingi za jumla. Kama za viwanda vya kemikali, mbolea, liquefications nk. Ila kwasasa ni vigumu kuwa na stable employment opportunity.Kikubwa nikujaribu kuomba kazi kwenye nchi za arabia labda.
ahsante kwa ushauri mzuriii
 
Hii degree unatakiwa kuwa na connection aisee. Binafsi naona ukiwa na connection unatoboa. Kuna jirani yangu ni petroleum engineer, anapiga job Saudi Arabia. Kwanza home kwake ana Land Cruiser new model 4, Ranger Rover 2, LC Prado 2 na Rav4 new model 4. Anaenda site 3 weeks, 1 week kupumzika. Kupumzika analipiwa ticket back to Tz na kurudi. Huyu jamaa sina mazoea nae, kwanza hakai home sana. Muda mwingi kwa michepuko. Kila mchepuko ana Nyumba, akija anawaachia 1m each .

Okay enough data. In short kazi zipo nje ya Tz kwa sasa. Na ukipata utaona kawaida kuonga Range Rover Sport. Trust me, huyu mshikaji marafiki zake wote life is good. Good luck!!!

-callmeGhost
Aise unatia wafu hasira mkuu...
 
Jaribuni nchi jirani kama mozambique,elewa msumbiji ina gas reserve mara nne ya tanzania..
 
Mm nafikiri. Hili swala lilikuzwa sana tena sana. Kwa nafac ya industry hii hapa Tanzania. Mm nilifikir zilitakiwa zitangulie kwaza degree za pili za hayo mambo. Watu wenye background mbali mbali za science na engineering.Kwasababu siku zote hii sector inakuwa na burst za kila aina.Moja ya burst kubwa ni ajira zake.
Kwangu naona halikukuzwa... Ishu ni kwamba watafiti wameondoka nchini kutokana na mazingira ya sasa kutowapa uhakika wa kesho yao... Wameona kuliko kuishi kwa mashaka, bora watimke..... ILA HILI WALE WA BUKU SANA NA TIMU NZIMA INAYOFANANA NAO HAWAWEZI WAKAKUBALI... Na mbaya zaidi wanaobisha wengi wao hawana hata knowledge ya mafuta na gesi... KAMA ILIVYOKUWA KWENYE MAKINIKIA... Na huku nako tutafika mahala tutakuwa tunasubiri NOAH... ZITAKUWA NOAH MBILI
 
Hii degree unatakiwa kuwa na connection aisee. Binafsi naona ukiwa na connection unatoboa. Kuna jirani yangu ni petroleum engineer, anapiga job Saudi Arabia. Kwanza home kwake ana Land Cruiser new model 4, Ranger Rover 2, LC Prado 2 na Rav4 new model 4. Anaenda site 3 weeks, 1 week kupumzika. Kupumzika analipiwa ticket back to Tz na kurudi. Huyu jamaa sina mazoea nae, kwanza hakai home sana. Muda mwingi kwa michepuko. Kila mchepuko ana Nyumba, akija anawaachia 1m each .

Okay enough data. In short kazi zipo nje ya Tz kwa sasa. Na ukipata utaona kawaida kuonga Range Rover Sport. Trust me, huyu mshikaji marafiki zake wote life is good. Good luck!!!

-callmeGhost
Jirani,mbona unanianika??
 
Hizi kazi naona kama zimekuwa adimu,kuna jamaa alishika nafasi ya 6 kitaifa form 6,Atupelle alikuwaga schumberg sasa hivi ni Reasarch office TIRDO,upande wa nishati.
 
subirini tuanze kuchimba mafuta yetu na gas huku Zenji, tutawaita kuja kuwaajiri maana rasilimali watu hasa wenye fani hizo kwa huku zenji itakuwa ndogo,hivyo uhitaji wa watu kutoka nchi jirani ikiwemo Tanganyika utakuwa mkubwa sana.....
 
Mungu awape wepesi, maana huku bongo miyeyusho tuu,
 
Back
Top Bottom