SoC01 Ajira za Uhakika zinazoweza kukulipa Mtandaoni

Stories of Change - 2021 Competition

Jasusi Mbobezi

Senior Member
May 17, 2020
195
851
Mambo vipi wakuu, leo katika jukwaa hili nitaorodhesha kazi ambazo unaweza kuzifanya mtandaoni na ukapata kipato kizuri.

Bila kupoteza muda, katika ulimwengu wa leo, teknolojia imekwenda mbele sana kiasi kwamba ni vigumu kuishi maisha bila kujihusisha nayo, sambamba na ukuaji wa teknolojia, kwasasa kuna wimbi kubwa sana la vijana wanaotafuta ajira bila mafanikio, lengo la andiko hili ni kuwapatia vyanzo vya uhakika vya mapato mtandaoni.

Nitazigawa fursa hizi katika makundi 2, kundi la kwanza ni fursa zinazohitaji ujuzi na kundi lapili ni zile zisizo hitaji ujuzi.

Fursa zinazo hitaji ujuzi;

Natambua uwepo wa vijana ambao wana ujuzi mbalimbali kama vile uandishi, uandaaji wa CV, utengenezaji wa programu tumishi za simu na tarakilishi, utengenezaji wa logo nk. Ikiwa wewe una ujuzi kama huu hauna sababu ya kuendelea kukaa bila kujipatia kipato chochote, unaweza kujiunga na website kama fiverr.com na upwork.com (mimi natumia fiverr) ambapo utatengeneza profile yako na kuweka matangazo ya shughuli unazofanya bure, nashauri uweke kwa lugha ya kiingereza.

Sio jambo jepesi kupata wateja haraka, ila kuna mbinu unaweza tumia kupata wateja haraka, mf. ukipokea kazi ya mtu yeyote hapo mtaani, mwombe aweke order yake kupitia fiverr na atafanya malipo hukohuko, wewe utapokea notification kuwa kuna order umeipata, utawasiliana naye kupitia hukohuko fiverr, utafanya kazi yake, na kui submit na baada ya kukamilisha fiverr watamwomba athibitishe kuwa amepokea na kukupa review, endapo utaifanya vyema basi utapata 5 stars, ukifanya hivi na kupokea order kwa watu kadhaa, basi automatically fiverr wataanza ku recommend jina lako kwa watu wanaotafuta kufanyiwa kazi za namna hiyo, utashangaa unaanza kupokea kazi hata 3 kwa siku toka sehemu mbalimbali duniani. Unaweza kujifunza zaidi youtube.

Pia katika hizi hizi kazi zinazotumia ujuzi unaweza kujiunga na website kama justlearn.com hapo utaweza kufanya kazi kama mwalimu wa lugha, mf. ikiwa unafahamu vyema lugha ya kiswahili na kiingereza basi utaweza kujiunga kama mwalimu wa Kiswahili, utaweka profile yako vzr, utaweka sample ya video fupi ukifundisha mada fulani, hakikisha profile yako ina mwonekano wa kitaalamu yaani mtu anayetaka kujifunza lugha akiingia aridhike kuwa kweli unaweza kumfundisha vyema. (Wakenya wametuzidi sana yaani kule justlearn wao ndo wanaonekana kuwa eti mabingwa wa lugha ya Kiswahili wakati hapa tuna walimu wengi tu wanaoweza kuifanya kazi hiyo na wako mtaani. (Unaweza kujifunza zaidi Youtube namna ya kuboresha profile yako)

Pia unaweza kufungua account ya YouTube kuwafundisha watu huo ujuzi ulio nao, mwanzoni hata usifungue kwa lengo la kupata fedha, wewe andaa video nzuri, uzipakie, weka pia mawasiliano yako ili hata mtu akikutafuta ili akupe kazi basi iwe rahisi.

Serikali yetu bado haijaruhusu Forex na sarafu za kidijitali hivyo sitaizungumzia ila kwakifupi nayo ni fursa lakini usikurupuke maana utaumia.

Kwa upande wa fursa zisizo hitaji kusomea ujuzi fulani unaweza kunya shughuli zifuatazo;

1. Kuanzisha kurasa za mitandao ya kijamii katiak mitandao yote mikubwa na kuzitumia kutangaza bidhaa za watu wengine (kama dalali) halafu ukipata wanunuzi unapata kiasi fulani, sasa ili ukurasa wako unoge unaweza kuufanya hivi, mf. ukurasa unauita Jiko Moto unakuwa unaweka bidhaa mbalimbali za jikoni na kuzitolea elimu, mf. unaweza kuweka mashine ya kukunia nazi, ukaelezea namna inavyofanya kazi, jinsi ya kuisafisha, jinsi ya kuifanyia matengenezo madogo madogo nk baadae unaeleza kuwa mtu anaweza kuiagiza na akaletewa mpaka nyumbani ndo alipie, ili kupata matokeo zaidi unaweza kuzi promote (jifunze youtube bure) Ukienda kariakoo au soko lolote ukatafuta mmiliki wa duka na kumwambia kuwa wewe utampelekea wateja wa vitu vyake hakuna atakaye kataa (ANGALIZO: HII INAFAA KWA BIDHAA KUBWA KUBWA KAMA MAJIKO, MASHINE MBALIMBALI, TV, MAGARI NK. Usije ukaenda kwenye genge la nyanya ukubaliane na muuzaji kuwa utamtangaza maana faida yake ni ndogo atashindwa kukupa gawio.

2. Kujiunga na website kama JVZoo na Click Bank ambapo utakutana na matangazo ya biashara mbalimbali zinazohitaji kutangazwa, kwahiyo utachukua link za bidhaa hizo na kuzitangaza ukipata wanunuzi basi utapata kamisheni lakini pia zipo bidhaa ambazo zinalipa kwa CPA pia. Usizitangaze kwenye nchi za ulimwengu watatu, zitangaze kwenye nchi za nje na si lazima utumie platforms kama Facebook, unaweza kutumia platmorm kama PopAds, Adsterra na ukapata mauzo kama kawaida (ukitumia makampuni haya, si lazima utengeneze landing page) , jifunze tu namna ya kuset kampeni kupitia youtube na uanze.

CHANGAMOTO:
Changamoto kwa Tanzania ni payment methods, kwa sasa mimi huwa natumia zaidi paypal, webmoney na bitcoin maana kuna mawakala wachache unaweza kuwatumia ku droo pesa kwa rates zinazo ridhisha.

Ahsante.
 
Asante mdau kwa mada nzuri yenye lengo la kupanua wigo wa ajira. Tatizo sisi Watanzania ni wavivu wa kusoma, hapo uliposema twende youtube tukajifunze zaidi ndo kabisaa umetupiga chenga.

Pia, ungezungumzia forex kidogo maana tayari kuna watu wanaifanya kwa kiasi chake
 
Shukrani kiongozi
 
Mambo vipi wakuu, leo katika jukwaa hili nitaorodhesha kazi ambazo unaweza kuzifanya mtandaoni na ukapata kipato kizuri.
Bila kupoteza muda, katika ulimwengu wa leo, teknolojia imekwenda mbele sana kiasi kwamba ni vigumu kuishi maisha bila kujihusisha nayo, sambamba na ukuaji wa teknolojia, kwasasa kuna wimbi kubwa sana la vijana wanaotafuta ajira bila mafanikio, lengo la andiko hili ni kuwapatia vyanzo vya uhakika vya mapato mtandaoni.

Nitazigawa fursa hizi katika makundi 2, kundi la kwanza ni fursa zinazohitaji ujuzi na kundi lapili ni zile zisizo hitaji ujuzi.

Fursa zinazo hitaji ujuzi;

Natambua uwepo wa vijana ambao wana ujuzi mbalimbali kama vile uandishi, uandaaji wa CV, utengenezaji wa programu tumishi za simu na tarakilishi, utengenezaji wa logo nk. Ikiwa wewe una ujuzi kama huu hauna sababu ya kuendelea kukaa bila kujipatia kipato chochote, unaweza kujiunga na website kama fiverr.com na upwork.com (mimi natumia fiverr) ambapo utatengeneza profile yako na kuweka matangazo ya shughuli unazofanya bure, nashauri uweke kwa lugha ya kiingereza. Sio jambo jepesi kupata wateja haraka, ila kuna mbinu unaweza tumia kupata wateja haraka, mf. ukipokea kazi ya mtu yeyote hapo mtaani, mwombe aweke order yake kupitia fiverr na atafanya malipo hukohuko, wewe utapokea notification kuwa kuna order umeipata, utawasiliana naye kupitia hukohuko fiverr, utafanya kazi yake, na kui submit na baada ya kukamilisha fiverr watamwomba athibitishe kuwa amepokea na kukupa review, endapo utaifanya vyema basi utapata 5 stars, ukifanya hivi na kupokea order kwa watu kadhaa, basi automatically fiverr wataanza ku recommend jina lako kwa watu wanaotafuta kufanyiwa kazi za namna hiyo, utashangaa unaanza kupokea kazi hata 3 kwa siku toka sehemu mbalimbali duniani. Unaweza kujifunza zaidi youtube.

Pia katika hizi hizi kazi zinazotumia ujuzi unaweza kujiunga na website kama justlearn.com hapo utaweza kufanya kazi kama mwalimu wa lugha, mf. ikiwa unafahamu vyema lugha ya kiswahili na kiingereza basi utaweza kujiunga kama mwalimu wa Kiswahili, utaweka profile yako vzr, utaweka sample ya video fupi ukifundisha mada fulani, hakikisha profile yako ina mwonekano wa kitaalamu yaani mtu anayetaka kujifunza lugha akiingia aridhike kuwa kweli unaweza kumfundisha vyema. (Wakenya wametuzidi sana yaani kule justlearn wao ndo wanaonekana kuwa eti mabingwa wa lugha ya Kiswahili wakati hapa tuna walimu wengi tu wanaoweza kuifanya kazi hiyo na wako mtaani. (Unaweza kujifunza zaidi Youtube namna ya kuboresha profile yako)

Pia unaweza kufungua account ya YouTube kuwafundisha watu huo ujuzi ulio nao, mwanzoni hata usifungue kwa lengo la kupata fedha, wewe andaa video nzuri, uzipakie, weka pia mawasiliano yako ili hata mtu akikutafuta ili akupe kazi basi iwe rahisi.

Serikali yetu bado haijaruhusu Forex na sarafu za kidijitali hivyo sitaizungumzia ila kwakifupi nayo ni fursa lakini usikurupuke maana utaumia.

Kwa upande wa fursa zisizo hitaji kusomea ujuzi fulani unaweza kunya shughuli zifuatazo;

1. Kuanzisha kurasa za mitandao ya kijamii katiak mitandao yote mikubwa na kuzitumia kutangaza bidhaa za watu wengine (kama dalali) halafu ukipata wanunuzi unapata kiasi fulani, sasa ili ukurasa wako unoge unaweza kuufanya hivi, mf. ukurasa unauita Jiko Moto unakuwa unaweka bidhaa mbalimbali za jikoni na kuzitolea elimu, mf. unaweza kuweka mashine ya kukunia nazi, ukaelezea namna inavyofanya kazi, jinsi ya kuisafisha, jinsi ya kuifanyia matengenezo madogo madogo nk baadae unaeleza kuwa mtu anaweza kuiagiza na akaletewa mpaka nyumbani ndo alipie, ili kupata matokeo zaidi unaweza kuzi promote (jifunze youtube bure) Ukienda kariakoo au soko lolote ukatafuta mmiliki wa duka na kumwambia kuwa wewe utampelekea wateja wa vitu vyake hakuna atakaye kataa (ANGALIZO: HII INAFAA KWA BIDHAA KUBWA KUBWA KAMA MAJIKO, MASHINE MBALIMBALI, TV, MAGARI NK. Usije ukaenda kwenye genge la nyanya ukubaliane na muuzaji kuwa utamtangaza maana faida yake ni ndogo atashindwa kukupa gawio.

2. Kujiunga na website kama JVZoo na Click Bank ambapo utakutana na matangazo ya biashara mbalimbali zinazohitaji kutangazwa, kwahiyo utachukua link za bidhaa hizo na kuzitangaza ukipata wanunuzi basi utapata kamisheni lakini pia zipo bidhaa ambazo zinalipa kwa CPA pia. Usizitangaze kwenye nchi za ulimwengu watatu, zitangaze kwenye nchi za nje na si lazima utumie platforms kama Facebook, unaweza kutumia platmorm kama PopAds, Adsterra na ukapata mauzo kama kawaida (ukitumia makampuni haya, si lazima utengeneze landing page) , jifunze tu namna ya kuset kampeni kupitia youtube na uanze.

CHANGAMOTO:
Changamoto kwa Tanzania ni payment methods, kwa sasa mimi huwa natumia zaidi paypal, webmoney na bitcoin maana kuna mawakala wachache unaweza kuwatumia ku droo pesa kwa rates zinazo ridhisha.

Ahsante.
👍🏾
 
Natumia Upwork ila nahangaika sipati kazi
Soma hiyoooView attachment 1937974
Screenshot_20210914-233053.jpg
 
Mambo vipi wakuu, leo katika jukwaa hili nitaorodhesha kazi ambazo unaweza kuzifanya mtandaoni na ukapata kipato kizuri.

Bila kupoteza muda, katika ulimwengu wa leo, teknolojia imekwenda mbele sana kiasi kwamba ni vigumu kuishi maisha bila kujihusisha nayo, sambamba na ukuaji wa teknolojia, kwasasa kuna wimbi kubwa sana la vijana wanaotafuta ajira bila mafanikio, lengo la andiko hili ni kuwapatia vyanzo vya uhakika vya mapato mtandaoni.

Nitazigawa fursa hizi katika makundi 2, kundi la kwanza ni fursa zinazohitaji ujuzi na kundi lapili ni zile zisizo hitaji ujuzi.

Fursa zinazo hitaji ujuzi;

Natambua uwepo wa vijana ambao wana ujuzi mbalimbali kama vile uandishi, uandaaji wa CV, utengenezaji wa programu tumishi za simu na tarakilishi, utengenezaji wa logo nk. Ikiwa wewe una ujuzi kama huu hauna sababu ya kuendelea kukaa bila kujipatia kipato chochote, unaweza kujiunga na website kama fiverr.com na upwork.com (mimi natumia fiverr) ambapo utatengeneza profile yako na kuweka matangazo ya shughuli unazofanya bure, nashauri uweke kwa lugha ya kiingereza.

Sio jambo jepesi kupata wateja haraka, ila kuna mbinu unaweza tumia kupata wateja haraka, mf. ukipokea kazi ya mtu yeyote hapo mtaani, mwombe aweke order yake kupitia fiverr na atafanya malipo hukohuko, wewe utapokea notification kuwa kuna order umeipata, utawasiliana naye kupitia hukohuko fiverr, utafanya kazi yake, na kui submit na baada ya kukamilisha fiverr watamwomba athibitishe kuwa amepokea na kukupa review, endapo utaifanya vyema basi utapata 5 stars, ukifanya hivi na kupokea order kwa watu kadhaa, basi automatically fiverr wataanza ku recommend jina lako kwa watu wanaotafuta kufanyiwa kazi za namna hiyo, utashangaa unaanza kupokea kazi hata 3 kwa siku toka sehemu mbalimbali duniani. Unaweza kujifunza zaidi youtube.

Pia katika hizi hizi kazi zinazotumia ujuzi unaweza kujiunga na website kama justlearn.com hapo utaweza kufanya kazi kama mwalimu wa lugha, mf. ikiwa unafahamu vyema lugha ya kiswahili na kiingereza basi utaweza kujiunga kama mwalimu wa Kiswahili, utaweka profile yako vzr, utaweka sample ya video fupi ukifundisha mada fulani, hakikisha profile yako ina mwonekano wa kitaalamu yaani mtu anayetaka kujifunza lugha akiingia aridhike kuwa kweli unaweza kumfundisha vyema. (Wakenya wametuzidi sana yaani kule justlearn wao ndo wanaonekana kuwa eti mabingwa wa lugha ya Kiswahili wakati hapa tuna walimu wengi tu wanaoweza kuifanya kazi hiyo na wako mtaani. (Unaweza kujifunza zaidi Youtube namna ya kuboresha profile yako)

Pia unaweza kufungua account ya YouTube kuwafundisha watu huo ujuzi ulio nao, mwanzoni hata usifungue kwa lengo la kupata fedha, wewe andaa video nzuri, uzipakie, weka pia mawasiliano yako ili hata mtu akikutafuta ili akupe kazi basi iwe rahisi.

Serikali yetu bado haijaruhusu Forex na sarafu za kidijitali hivyo sitaizungumzia ila kwakifupi nayo ni fursa lakini usikurupuke maana utaumia.

Kwa upande wa fursa zisizo hitaji kusomea ujuzi fulani unaweza kunya shughuli zifuatazo;

1. Kuanzisha kurasa za mitandao ya kijamii katiak mitandao yote mikubwa na kuzitumia kutangaza bidhaa za watu wengine (kama dalali) halafu ukipata wanunuzi unapata kiasi fulani, sasa ili ukurasa wako unoge unaweza kuufanya hivi, mf. ukurasa unauita Jiko Moto unakuwa unaweka bidhaa mbalimbali za jikoni na kuzitolea elimu, mf. unaweza kuweka mashine ya kukunia nazi, ukaelezea namna inavyofanya kazi, jinsi ya kuisafisha, jinsi ya kuifanyia matengenezo madogo madogo nk baadae unaeleza kuwa mtu anaweza kuiagiza na akaletewa mpaka nyumbani ndo alipie, ili kupata matokeo zaidi unaweza kuzi promote (jifunze youtube bure) Ukienda kariakoo au soko lolote ukatafuta mmiliki wa duka na kumwambia kuwa wewe utampelekea wateja wa vitu vyake hakuna atakaye kataa (ANGALIZO: HII INAFAA KWA BIDHAA KUBWA KUBWA KAMA MAJIKO, MASHINE MBALIMBALI, TV, MAGARI NK. Usije ukaenda kwenye genge la nyanya ukubaliane na muuzaji kuwa utamtangaza maana faida yake ni ndogo atashindwa kukupa gawio.

2. Kujiunga na website kama JVZoo na Click Bank ambapo utakutana na matangazo ya biashara mbalimbali zinazohitaji kutangazwa, kwahiyo utachukua link za bidhaa hizo na kuzitangaza ukipata wanunuzi basi utapata kamisheni lakini pia zipo bidhaa ambazo zinalipa kwa CPA pia. Usizitangaze kwenye nchi za ulimwengu watatu, zitangaze kwenye nchi za nje na si lazima utumie platforms kama Facebook, unaweza kutumia platmorm kama PopAds, Adsterra na ukapata mauzo kama kawaida (ukitumia makampuni haya, si lazima utengeneze landing page) , jifunze tu namna ya kuset kampeni kupitia youtube na uanze.

CHANGAMOTO:
Changamoto kwa Tanzania ni payment methods, kwa sasa mimi huwa natumia zaidi paypal, webmoney na bitcoin maana kuna mawakala wachache unaweza kuwatumia ku droo pesa kwa rates zinazo ridhisha.

Naweza kupata email yako please🙏🙏🙏Kuna vitu nahitaji kukuuliza thanks so much for sharing this.
 
Asante mdau kwa mtonyo huu, hope wengi watanufaika nao bila shaka
 
Back
Top Bottom