Ajira za ualimu serikalini kwa waliomaliza shahada, stashahada na astashahada mwaka 2011. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajira za ualimu serikalini kwa waliomaliza shahada, stashahada na astashahada mwaka 2011.

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by KIMBURU, Dec 24, 2011.

 1. KIMBURU

  KIMBURU JF-Expert Member

  #1
  Dec 24, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 210
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Nimesikia fununu kuwa serikali imerejesha mfumo wa kuajiri walimu kwa kupitia wakurugenzi wa halmashauri; na hivyo wahitimu wa ualimu wa mwaka huu 2011 watatakiwa kutuma maombi ya ajira kwa wakurugenzi. Kama kuna mtu anadetails za kutosha kuhusu hili naomba atufafanulie tafadhari.
   
 2. Tarime

  Tarime Member

  #2
  Dec 24, 2011
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hilo ni kweli lipo but kwa wahitimu wa kuanzia mwaka 2012 wa mwaka huu 2011 tayari wapo kwenye mpango wapo walimu 23 ambao wataajiriwa cha msingi ni kuwa na subira tu na kusubiri tuone yatakayojiri mi najua hivyo 2 labda wadau wanaojua zaidi ya hapo
   
 3. Tarime

  Tarime Member

  #3
  Dec 24, 2011
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Huwezi ku2ma kwa wakurungenzi mpaka watoe matangazo kama kuna ukweli
   
 4. g

  gidytitus JF-Expert Member

  #4
  Dec 24, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 332
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Si kweli! Post zmeshakuwa tayari chini ya ofisi ya wazir mkuu! Hyo itaanza kwa miaka ijayo and Not now.
   
 5. g

  gidytitus JF-Expert Member

  #5
  Dec 24, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 332
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Si kweli! Post zmeshakuwa tayari chini ya ofisi ya wazir mkuu, wamesubr Januar il waztoe! Hyo itaanza kwa miaka ijayo and Not now.
   
 6. g

  gidytitus JF-Expert Member

  #6
  Dec 24, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 332
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Kumbe ni fununu! Don work with fununu.
   
 7. Tarime

  Tarime Member

  #7
  Dec 25, 2011
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ni kweli asifanyie kazi fununu but lisemwalo lipo na kunapofuka moshi ndani yake kuna moto
   
Loading...