Ajira za ualimu alizotangaza Rais Magufuli

indundidotcom

JF-Expert Member
Mar 4, 2017
229
226
Jamani naomba kujuzwa maana huku nilipo n mbali na mtandao, nasikia rais katangaza ajira kada ya ualimu, kwamba watu waombe je Ni kweli?
Na vipi tunaomba kwa anuani upi?!
Na wanahitajika Ni sayansi tu au wote?!
Na zoezi hili litaisha lini?! (Deadline)


Msaada tafadhali maana Hali so shwali kutaa

Ahsante
 
Mangufuli hana ajira,unaajiriwa kuifanyia kazi serikali kama yeye anavyoifanyia. Labda kama ni za nyumbani kwake
 
Magufuli alisema bajeti ya mwaka 2020/2021 anatarajia kuajiri walim 13000 na usheee ivi,ila bado hajasema kuomba...alisema anatarajia kuajiri....so we subili muda ufike kama utakuwa na bahati yako utapata..
 
Kama neno 'shwari' ndio linaandikwa sawa na ulivyoandika wewe, ni vema ukaendelea kukaa mtaani maana utatuharibia watoto wetu.
 
Magufuli alisema bajeti ya mwaka 2020/2021 anatarajia kuajiri walim 13000 na usheee ivi,ila bado hajasema kuomba...alisema anatarajia kuajiri....so we subili muda ufike kama utakuwa na bahati yako utapata..
Ahsante mkuu kwa taarifa
 
Walimu wa Sanaa tuendelee tu kufanya shughuli zetu za kihalali maisha yanaendelea Kama kawaida Ila utofauti Ni kuwa mfumo bado unakataa kutupokea!Siku ukikubali sawa Ila kwa Sasa tusiweke mawazo huko!Na nyie wa sayansi mkipata fursa muitumie vizuri huko serikalini
 
Back
Top Bottom