Ajira za TANESCO mchakato umesitishwa

Jmn ajira za tanesco cna mshiko mzuri jamn nilifanya hili shirika Kam STE na baadae tempo kabal maguful ajafuruga utaratibu wakt nasubiria namba kutk a makao makuuu duh
zile 96 na 110 inaonekana ulikua unazipiga sana.
 
Asante kwa Kuelewa. Mimi ni mbobezi wa Ajira za Serikalini. Najua michezo yote inayochezwa.
NB. Tuko kwenye awamu ambayo ajira zitatoka nyingi Sana both Government and Private lakini kupata nafasi utasota mpaka basi.
Tusubiri TRA Lakin................
Ahaha TRA umekata mwez wa pili sasa toka tangazo lao la mwisho la November 4

Sent from my SM-J510L using JamiiForums mobile app
 
Niliwahi sikia baadhi ya mashirika utumishi wakitangaza,michakato ya interview inakuwa inachezewa,mfano kama ile ya tra pepa ilivuja sana ikapelekea watu kulalamika,na tanesco nao ivyoivyo kuna michezo inachezwa,mie nilikuwa naona tu kama ingewezekana kila taasisi ingekuwa inaajiri yenyewe tu
 
HV ajira za temporary kwel unapeleka utumishi au hz specific task employment unazipeleka utumish nadhn utumishi ilione hili
 
Back
Top Bottom