Ajira za standard guage zimetangazwa?

Hzo swaga za jukwaani tu mtasubr sana! Ajira 71,000 za bajeti 2016/2017 kimya mpaka leo mwaka unaisha sembuse hizo laki6? Ukimwamn mwanasiasa utakufa na matumain yako mkuu!

Achana na hawa wanasiasa! Hovyo kabsa! Subr uchaguzi ukarbie ndo utaona hizo fursa!
 
thawa mkuu kwanii mchakato wa ujenzii umeanza??
 
zimeshaanza kutangazwa mkuu tena zile zenye mishaara minono, watu wa huko duniani wameshaanza kuapply ,kama una subiria za kubeba zege na mataluma nenda site kwao
ngoja nikitulia nita watumia hizo link nafasi za kazi
 
mkuu utafanya jambo la maana sana hali ni tete sana ...tutumie bhana tukapambane na hali zetu
 
sorry sana wakuu wangu nilikuwa busy na kutafuta mkate wa siku ndio maana nilishindwa kujibu na kuweka link kwa wakati
Google Translate tumieni hii link nimejaribu kutranslate kwa lugha ya kingereza
jaribuni kutembelea tovuti za hawa wakandarasi walioshinda hizi tender mara kwa mara wanatangaza kazi za huu mradi
kampuni hizo ni http://www.mota-engil.cv/ na www.ym.com
 
Below are the advertisements for the positions we need as Yapı Merkezi. Applicants who want to apply for the advertisements should submit their resumes to this address or to man.kaynaklari@ym.com.tr by e-mail.When submitting a resume, they need to indicate which application they want to apply for.

Those who want to make a general application can also apply by sending their resumes to people.kaynaklari@ym.com.tr mail address.
 
sorry sana wakuu wangu nilikuwa busy na kutafuta mkate wa siku ndio maana nilishindwa kujibu na kuweka link kwa wakati
Google Translate tumieni hii link nimejaribu kutranslate kwa lugha ya kingereza
jaribuni kutembelea tovuti za hawa wakandarasi walioshinda hizi tender mara kwa mara wanatangaza kazi za huu mradi
kampuni hizo ni http://www.mota-engil.cv/ na www.ym.com
Mkuu Mbona Tanzania haipo na hakuna nafasi za kazi zinatangazwa??
 
Ukisikia Hospital inajengwa Ajira za Madaktari huanza kutangazwa hata Kabla ya kuchimba Msingi?
 
Back
Top Bottom