Ajira za Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) Zimesimamishwa kwa Muda

Status
Not open for further replies.

Hazchem plate

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
11,045
15,379
UPDATE: Baada ya ajira hizi kusimamishwa kwa muda zimetanganzwa tena. Soma RE-ADVERTISED: Nafasi za Kazi Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro - NCAA - JamiiForums
===

Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro imesitisha zoezi la ajira kwa Muda hadi pale Tangazo litakapotolewa tena.

Poleni kwa Usumbufu
www.ncaa.go.tz/vacancies
Screenshot_20190222-174442_Drive.jpeg
 

Attachments

  • NCAA APOLOGY.pdf
    243.2 KB · Views: 76
Mwenyezi Mungu awalaani hao watakaofanya ivyo,Inamaana sie tukiandika maombi tunajisumbua tu bure sio
Asikukatishe mtu taamaa. I encourage you to apply for job once they Advertise again
 
labda wanataka kupewa sekretarieti ya ajira ndio wafanye zoezi hilo
Halafu secretariat ya ajira nashindwaga kuielewa kazi yake maana mi nilijua kuwa taasisi yoyote ya serikali iwe mamlaka za maji safi na taka mfano dawasa, tanapa, usaili lazima ufanywe na secretariate ya ajira sasa mbona taasisi za serikali nyingi tu zinafanya usaili zenyewe au hii sio sharti kwa taasisi zote za serikali usaili kufanywa na secretariate ya ajira katika utumishi wa uma
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom