Pia unaweza ukajiajiri mwenyewe kwa kuanzisha taasisi ya kufundisha kiswahili kwa wageni na hata sie wenyeji maana tunajifanya tunajua kiswahili kumbe hakuna kitu, btw soko la ajira lipo kubwa tu kwa nje ya nchi maana mpaka sasa sijui kama hiyo masters inapatikana hapa bongo pamoja na kwamba tunatumia kiswahili daily
Kwa hapa bongo ipo katika vyuo vikuu viwili tu bongo nzima......Inafundishwa UDSM na OUT
Ahsante kwa taarifa mkuu[/QUOT
Pamoja sana Jodoki
Kwa hapa bongo ipo katika vyuo vikuu viwili tu bongo nzima......Inafundishwa UDSM na OUT
Wabongo kiswahili tunazidiwa na Kenya tena mbali wenyewe wanavyuo karibu 10 na zaidi vinavyotoa kuanzia M.A na PhDPia unaweza ukajiajiri mwenyewe kwa kuanzisha taasisi ya kufundisha kiswahili kwa wageni na hata sie wenyeji maana tunajifanya tunajua kiswahili kumbe hakuna kitu, btw soko la ajira lipo kubwa tu kwa nje ya nchi maana mpaka sasa sijui kama hiyo masters inapatikana hapa bongo pamoja na kwamba tunatumia kiswahili daily