Ajira za kuanza mara moja: Kuuza chips na kuuza bagia

Irene27

New Member
Feb 8, 2019
4
45
Wanahitajika vijana 7 kwa ambao wana utayari wa kufanya kazi hii.

Vijana wawili (2) kazi yao itakua katika banda la chips, ujuzi kidogo utahitajika katika hili. Banda na kila kitu vipo (Maelewano katika malipo ambayo yatafanyika kwa siku)

Vijana watano (5) kazi yao itakua ni kutembeza bagia 20 kila mmoja kwa siku 1 (Mpishi yupo) ambapo malipo yatafanyika kwa mwezi kianzio ni 50,000/=

Eneo la kazi : Dar es salaam

NB :Malazi na chakula ni bure (yaan sehemu ya kulala na chakula ni juu ya mwajiri)

Mawasiliano : 0622-109655 (USIBIPU)

Piga au tuma message zitajibiwa !
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom