Ajira Za Benki Na Umachinga Wa Vijana Nchini

mtizamotu

New Member
May 27, 2008
1
0
Kama kuna benki iliyoingia kwa kasi katika soko hivi sasa hapa nchini, Barclays ni moja. Inaongoza kwa kujinasibu kuwa imeajiri watanzania wengi zaidi ya 1600 hapa nchini, lakini ni kwa mfumo usioeleweka, kutimuliwa ni kama mbwa.

tuache ya waajiriwa, tuangalie haya;

hatua za kupata mikopo ni mchezo wa kuigiza unaweza kukaa miezi sita hujui hatma ya mkopo
ufunguaji wa akaunti ni hadi mwezi mmoja ili uipate.

WanaJF tulitizame hili ili watanzania waepukane na lugha tamu za taasisi za fedha lakini utekelezaji ziro.
 
Mimi nilikwenda huko kuomba kufungua akaunti yangu binafsi pamoja na NGO niliyokuwa nashirikia na wadau wangu kuiongoza. Kuhusu akaunti binafsi nilielezwa nikalete barua ya ajira au mkataba wa kazi au leseni ya biashara ili kuhakikisha nina kipato kitakachokuwa kinapitia Barclays. Kuhusu akaunti ya NGO niliombwa MOU, jina na banker wa mfadhili wa NGO na kuombwa kuandika barua. Yote haya niliyatekeleza, na bahati nzuri nilikuwa kama nimepata ufunuo kwani kesho yake nilikwenda Bank nyingine kupeleka ombi kama hilo hilo. Huko kwingine akaunti zilifunguliwa mara baada ya documents zangu kukaguliwa (within two days) wakati Barclays walivuta miguu mwezi mzima, na tuligombana kweli kuweza kunirudishia nyaraka zangu. Kwa kifupi Barclays wana URASIMU au BREAUCRACY yenye vionjo vya maringo!!! Washindwe na walegee...ops ... Walegee na washindwe!!!
 
Really? Mmesahau kwamba barclays walirudisha hela BOT za EPA its coz of huo urasimu? Au its coz they working with international standards?? tuwe makini na tunayosema...waaache wa investigate uwezo wako na NGO yako...hawataki lawama to their shareholders..its jus business...
 
International Standards...

Nilifungua Account Ohio February kwa Ajili ya kupitisha Salary, ilikuwa katikati ya mwezi Account namba nilipata cafter 10 days (Hapo mshahara ukawa umecheleqa kwa siku zaidi ya sita) kama haitoshi mshahara umeingia wao walikuwa hawajanipa ATM Card nimekuja kuipata March 27! Na ni baada ya kuandika barua za complait 2 pamoja na kutishia kufunga Account.

Kwa kipindi hicho kutokana na kwamba shughuli zangu zinajumuisha kwenda zaidi vijijini nikajitoma NMB kufungua another Account na ni nilikuwa nimepata Kadi na kila kitu ndani ya wiki mbili.

Suala la hii Bank ni kwamba wameamua waajiri watu wengi, vitoto na wasiojua maadili na heshima ya kazi na hawana discpline na yale ambayo wanayosimamia. Kwa kifupi its a joke kuwa unafanya biashara na hiyo Bank!
 
Kwa mbongo wa kutafutia juani,hiyo bank kimeo,niwape wazi riba yao ni 25% ambayo watalaam wanakwambia ukitia timu utakoma kuringa.
 
The central idea behind a market economy is that the people get to choose services based on performance and competitiveness.In turn this will eventually foster competition and raise the entire tide of good services, from there raising every individual's boat.

What's wrong with just boycotting Barclays? Not enough alternatives?
 
hawa jamaa walijitangaza kwa kasi sana watu tukajua itakuwa bank ya mkombozi wa walalahoi....lakini usumbufu utakao upata pale utajuta ni bora upange mafoleni na mijoto kwenye NMB.
 
Kama kuna benki iliyoingia kwa kasi katika soko hivi sasa hapa nchini, Barclays ni moja. Inaongoza kwa kujinasibu kuwa imeajiri watanzania wengi zaidi ya 1600 hapa nchini, lakini ni kwa mfumo usioeleweka, kutimuliwa ni kama mbwa.

tuache ya waajiriwa, tuangalie haya;

hatua za kupata mikopo ni mchezo wa kuigiza unaweza kukaa miezi sita hujui hatma ya mkopo
ufunguaji wa akaunti ni hadi mwezi mmoja ili uipate.

WanaJF tulitizame hili ili watanzania waepukane na lugha tamu za taasisi za fedha lakini utekelezaji ziro.

Mwezi uliopita nilizungumza na binti mmoja anafanya Barclays, yeye kamaliza B.com UDSM. Analipwa overtime Tsh700 kwa saa.
I still don't believe what she told me.

.
 
lol ni kwamba haya yoote ni kweli kabisa mimi binafsi nimeshuhudia haya na nilikuwa nataka kufanya kazi nao hawa Bakleyzi lakini jamaa mmoja akaniambia watakupa kazi za kimachinga.
Kuna kazi ambazo wanajinadi wametoa ajira kibao zinaitwa za kimachinga hapa mjinini zile za DSA(Direct Sales Agent) yaani kutwa unashinda unatafuta watu wa kufungua account na kukopa! kibaya zaidi mshahara wao ni kichekesho,na ukiingia kule ndani utakutana na vitoto vya form 4,form 6 na chuo woote wamechanganyikana an tai zao.
Sijui kama kuwa slow like that ni kuwa wanaajili watu ambao hawajafiti au ni benki yenyewe ndio iko slow.Binafsi nimeshuhudua watu kibao wakifunga account zao pale
 
Nadhani swala la mikopo ni nyeti sana. Watu wengi hawafahamu kisa cha foreign bank kama Barclays au Citi kuja Tanzania sio kuwakopesha Watanzania. Bali walikuja ili kuwa na access na Treasure kutoka BoT, basi wao hununua hizi T-note, T-bills and T-bond na kuziuza kwa wananchi wa nchini kwao ambao wanataka foreign bonds alimarufu kama Euro bond, Yankee bond kuwa kwenye portfolio zao.

Hizi bond zina high yield, na ziko back na serikali kwa hivyo default rate ni ndogo. Bank za Tanzania zilikuwa hazijui nini kimewaleta Citi au Barclays hapo bongo. Ndio maana unaona hizi bank hazina matawi na zipo hapo Tanzania kwa miaka zaidi ya 10 lakini hazipanuki.

Kama unataka loan nakushauri utazame bank za watanzania (CRDB, NMB, au Bank ya Posta) Hata hivyo swala zima la kuchukua loan lina procidure zake za kibank. Mtoa loan anaweka imani ya kukupa wewe loan kutokana na information ulizo provide, kama info zako zinaonekana ni fishy then yeye lazima aweke alama ya kiulizo sababu ya default risk.

riba yako inatokana na risk ambazo zime associate na wewe ( default, business nk), kiingereza wanaita premium rate.

Kwa kifupi mkopo unategemeana na wewe mkopaji unakopa ili ufanye nini, ujenge nyumba au ununue Vogo au uanzishe biashara. Kila moja kati ya haya lina aspects zake.
 
Anyway hawa jamaa wazembe saana ,hata kudebit a/c za wateja ni issue,maana kuna kesi mmoja waliacha kudebit a/c ya kampuni yangu for 3months 15m ya mishahara lakini employee walishapata fedha zao,kila ukiwaambia wanasema watafanya ,i think there is a Management problems and Poor internal Controls!
 
Tatizo la Barclays ni yule Mkurugenzi wao, nasika ana ufahamu mdogo sana( "Rashidi" Bade) huwa anasimamia mwenyewe kufukuza wafanyakazi kama Mbawa! hata kwa kosa la kuangusha kikombe cha chai kikavunjika! Nasikia ni Balali 'alimrecommend' aende pale.....sasa sijui nae ni uzao wa kifisadi!!
 
Back
Top Bottom