Ajira wafanyakazi wanahitajika Viwandani na mahotelini

Tangazo la kazi kama tangazo la mkutano wa kijiji...kazi hizi sio za kuamini hata kidogo.
 
Hawa matapeli ni shidaah et mtu unampigia anakwambia bagamoyo resort mshahara laki 4 mpaka 6 . yaan hawana hata aibu waitress lini akalipwa laki 4 kwa hotel zetu za kibongo hizi
 
huyu jamaa analengo la kusaidia vijana kutokana na ugumu wa maisha na uhakika wa kupata kazi lakini walikuwapo wengi wa dizaini hii na kuwatapeli ma mia ya vijana na kuwaacha solember sasa je ni njia ipi ambayo wana jukwaa wata amini uhakika wa kazi upo pamoja na malipo yake......
 
Aweke wazi anapatikana wapi na ofisi zilipo ili wenye uwezo wa kufika ana kwa ana wafike, isiishie mtandaoni tu; maana hii hupelekea utapeli.
 
Aweke wazi anapatikana wapi na ofisi zilipo ili wenye uwezo wa kufika ana kwa ana wafike, isiishie mtandaoni tu; maana hii hupelekea utapeli.
nawaza wanajumuiya wenzangu wa sumbawanga/swaxy au mpanda apoteze 100,000 kuja dar alafu kazi hamna si utapeli wa macho huu.....
 
we mwenyew hauna kazi afuu unawapa wenzakoo yule mdogo ako anae tanga tanga mtaani vipiiii hafai ama... han elaa ya kumpiga
 
Back
Top Bottom