Ajira - waalimu wa geography na kiswahili au history. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajira - waalimu wa geography na kiswahili au history.

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by mikumi, May 28, 2012.

 1. m

  mikumi Member

  #1
  May 28, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  TUNATAFUTA MWALIMU WENYE DIPLOMA YA UALIMU AU DEGREE UALIMU YA MASOMO YA COMBINATION ZIFUATAZO LAZIMA AWE AMESOMA GEOGRAPHY NA KISWAHILI AU HISTORY. MSHAHARA NI MAELEWANO.KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA SIMU 0713 007977 AU 0786 007977 AU TUMA CV YA KWA EMAIL IFUATAYO eliud732001@yahoo.com . SHULE IKO DAR ES SALAAM WILAYA YA KINONDONI.USIHOFU JUU YA MISHAHARA KWANI INATEGEMA KIWANGO CHAKO CHA ELIMU PAMOJA NA UZOEFU WAKO KAZINI KWA KAZI YA KUFUNDISHA HAYO MASOMO.

  ANATAKIWA HARAKA TOKA SASA.
   
 2. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #2
  May 28, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Wapi huko wakuu?
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  May 28, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Kisw hist,,,,,mnaanzia sh ngap????
   
 4. lincolinjnr

  lincolinjnr Member

  #4
  May 28, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  nimesoma hist ling sitakiwi?
   
 5. Kakulwa P

  Kakulwa P JF-Expert Member

  #5
  May 28, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 200
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nimesoma HKL nina degree ya PSS
   
 6. a

  agather New Member

  #6
  May 28, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nina degree ya social science nilisoma nipo vizuri kiswahili na history sifai?
   
 7. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #7
  May 28, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,245
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Bachelor of arts with education majoring hist/geog uzoefu almost 2yrs.. Mshahara sh ngapi?
   
 8. m

  mnyevushaji Member

  #8
  May 28, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nina uzoefu wa miaka 3,ninaishi dar pia nina b.a with education in history and kiswahili,,my number is 0717776981
   
Loading...