Kiwanda cha matrekta hakijajengwa pametimuliwa vumbi tu kuandaa ujenzi na kuweka bendera za nchi mbili jiwe la msingi na ka jukwaa,cha kiluwa najua kiko live msaidizi wake kashaenda sana sasa sijui kama hakikuwa kimezinduliwa ila mwanzo mzuri kwa pwani
Kiluwa steel Group nakijua kipo Mlandizi jirani kabisa na shambani kwangu. Kwa waliowahi kupita njia ya kutoka mlandizi stand kwenda kisarawe basi kiwanda kipo njiani kabisa. Kilianza kujengwa 2013. Nafikiri kwasasa ni kweli kitakua kimeanza kazi maana nimepita kule mara ya mwisho may mwaka jana na kilikua hatua za mwisho kuanza kazi.
NB: Rais anaenda kufungua, maana yake kimeshaanza kazi. Kwahiyo Nafasi za kazi zimeshajazwa. Wenye connections zao na ndugu na jamaa ndio wamepeana fursa kama hizo. Kama wewe mwenzake na mimi mjini hapa, tafuta Ardhi tuendeleze kilimo tu maana ndo connects pekee tumerithishwa na baba zetu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.