Ajira viwandani mkoa wa pwani

kijani11

JF-Expert Member
Jan 19, 2014
6,270
2,000
Ngoja tuone atakapo zuru kama havijaanza kazi au vimeshaanza. Maana kama washaanza uzalishaji hapo nafasi ya ajira mpya ni ndogo.
 

Geechie

JF-Expert Member
Oct 26, 2015
978
1,000
Kiwanda cha matrekta hakijajengwa pametimuliwa vumbi tu kuandaa ujenzi na kuweka bendera za nchi mbili jiwe la msingi na ka jukwaa,cha kiluwa najua kiko live msaidizi wake kashaenda sana sasa sijui kama hakikuwa kimezinduliwa ila mwanzo mzuri kwa pwani
 

PSPA Pure'12 udsm

JF-Expert Member
Jan 11, 2013
773
500
Kiluwa steel Group nakijua kipo Mlandizi jirani kabisa na shambani kwangu. Kwa waliowahi kupita njia ya kutoka mlandizi stand kwenda kisarawe basi kiwanda kipo njiani kabisa. Kilianza kujengwa 2013. Nafikiri kwasasa ni kweli kitakua kimeanza kazi maana nimepita kule mara ya mwisho may mwaka jana na kilikua hatua za mwisho kuanza kazi.
NB: Rais anaenda kufungua, maana yake kimeshaanza kazi. Kwahiyo Nafasi za kazi zimeshajazwa. Wenye connections zao na ndugu na jamaa ndio wamepeana fursa kama hizo. Kama wewe mwenzake na mimi mjini hapa, tafuta Ardhi tuendeleze kilimo tu maana ndo connects pekee tumerithishwa na baba zetu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom