Ajira ualimu biology & chemistry

matindi1

matindi1

Member
Joined
Nov 2, 2018
Messages
11
Likes
2
Points
5
matindi1

matindi1

Member
Joined Nov 2, 2018
11 2 5
Habari za muda huu wana jf mm ni muhitimu wa degree ya ualim mwenge catholic university moshi kwenye bachelor of education science biology & chemistry natafuta ajira au sehem ya kujitolea na kulipwa posho mkoa wowote ule pia nina uzoef wa miezi 6 na pia nina uzoefu katika utumiaj wa computer programa kama vile ms word, power point,excel,publisher ,internet & email

Pia naweza kufundisha computer katika program.nilizotaja kama kuna kazi nyingne yoyote nafanya kwasasa nipo moshi ila naweza kufanya kazi kokote masiliano 0753729699 au 0713968030
 
A

amoury07890

Member
Joined
Jan 8, 2019
Messages
13
Likes
1
Points
5
A

amoury07890

Member
Joined Jan 8, 2019
13 1 5
kuwa makini humu ili limenitokea mim wamenifata inbox nimewapa namba wakasema niwatumie cv yangu baada ua siku 3 wakasema naweza kuitwa cv yangu imepita,maana nina experience ya miaka minne 4 chemistry and biology, shule yenyewe ipo tunduma . mtaaluma akajifanya anaomba pesa ili aprint cv yangu na attachment zote tena aprint coloured,nikamwambia kama ni hvyo kazi basi sitakiii,so be care kuna vitapeli vidogodogo
 
Job seeker 2

Job seeker 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2018
Messages
249
Likes
82
Points
45
Job seeker 2

Job seeker 2

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2018
249 82 45
kuwa makini humu ili limenitokea mim wamenifata inbox nimewapa namba wakasema niwatumie cv yangu baada ua siku 3 wakasema naweza kuitwa cv yangu imepita,maana nina experience ya miaka minne 4 chemistry and biology, shule yenyewe ipo tunduma . mtaaluma akajifanya anaomba pesa ili aprint cv yangu na attachment zote tena aprint coloured,nikamwambia kama ni hvyo kazi basi sitakiii,so be care kuna vitapeli vidogodogo
Mkuu hiyo shule namimi walinipigia kuwa cv yang iko sawa lakin kuna mashaka maana nikama sio waaminifu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
A

amoury07890

Member
Joined
Jan 8, 2019
Messages
13
Likes
1
Points
5
A

amoury07890

Member
Joined Jan 8, 2019
13 1 5
TUTUPIE NAMBA ZA HAWA MATAPELI ILI WANA JMII WAWAFAHAMU.
 
A

amoury07890

Member
Joined
Jan 8, 2019
Messages
13
Likes
1
Points
5
A

amoury07890

Member
Joined Jan 8, 2019
13 1 5
TAPELI HUYU ANAJIFANYA ETI NATAKA NIKAPRINT CV COLOURED HAHAH SASA HAPO NDIO UTAJUA CJUI CV YA RANGI GANI,ATUMWE PESA......ILASI SEC.SCHOOL KUWENI MAKINI NAYO
 
Forum statistics

Threads 1,262,357
Members 485,558
Posts 30,121,100