Ajira Serikalini: Rais Magufuli, mwezi mmoja na nusu umekatika kama ulivyoahidi

Muheshimiwa vijana tutakufa njaa toka tar 13 june hadi 13 august miezi miwili ya usitishaji ajira imetimia. Wagonjwa, wanafunzi nk wanatuhitaji chonde chonde tukumbuke muheshimiwa
 
Poleni sana kwa wale ambao mnasubiria ajira katika kipindi hiki cha changamoto za serikali ya pombe, nafikiri hiki zoezi hawakufanya estimation ya kina kubaini ni kuda gani kinaweza kuchukua hadi kukamilika kwake, maana inavyoonekana kwa sasa dalili za kuajiri kwa mwaka huu ni finyu
 
Back
Top Bottom