Ajira Serikali: Kwa tafsiri ya Serikali, ajira ni za walimu na watu wa afya pekee au?

Tuliwahi kuuliza swali kama hili hatukupatiwa majibu hadi leo. Wizara ya nishati, madini, ujenzi, mawasiliano, maendeleo ya jamii, fedha,maji, mifugo na kilimo nafasi za ajira mbona hazitolewi kwa mfuko huu,mbona hazitangazwi?

Mashirika kama tanesco,tpdc,ewura,Pura, bima,bot, tra, veta,puma, na kadhalik mbona hawatangazi nafasi za waliosome degree na kuendelea? Ukisikia nafasi imetangazwa ni nafasi ya mtunza kumbukumbu au katibu mhutasi.

Bachelor of science in rural development, unakwenda kujiajiri au kuajiriwa? Degree zingine zipo tu ili malecturer wapate mishahara na kujiendeleza ili watape PhD
Mambo kama haya ni upuuzi kwa staili hii ,mambo ya kusomesha watoto sio dili ni ujinga
 
Mapunda kama hao ndio huwa wanasema vijana hawako creative sijui wavivu wakati mitoto yao wanaitafutia Kazi za jasho letu

Mbaya zaidi huku mtaani serikali iliyojaa washenzi kama hao haiwezi hata kutengeneza mazingira rafiki kujiajiri .

Mijitu mingi humu inaropoka tuu lakini Kazi za vibarua ambazo ziko mtaani sio tuu hazina staha lakini hazina tija ya kipato kinachotosha kuendesha maisha zaidi ya kujikimu tuu
 
Acha utopolo,nafasi 1 waombaji 1000 ,,what is this?
Una tatizo la kisaikolojia Mkuu.

Mimi sitetei serikali hapa, wewe umeuliza kama ajira nchi hii ni afya na elimu. Mimi nikakwambia na sekta nyingine huwa wanatoa ila kwa utaratibu tofauti kulingana na mahitaji yao.

Sasa huu upumbavu wa nini?

Badili heading, iwe kwanini Tanzania kuna tatizo kubwa sana Ajira ?
 
R.I.P Mugabe
IMG-20210510-WA0002.jpg
 
Tuliwahi kuuliza swali kama hili hatukupatiwa majibu hadi leo. Wizara ya nishati, madini, ujenzi, mawasiliano, maendeleo ya jamii, fedha,maji, mifugo na kilimo nafasi za ajira mbona hazitolewi kwa mfuko huu,mbona hazitangazwi?

Mashirika kama tanesco,tpdc,ewura,Pura, bima,bot, tra, veta,puma, na kadhalik mbona hawatangazi nafasi za waliosome degree na kuendelea? Ukisikia nafasi imetangazwa ni nafasi ya mtunza kumbukumbu au katibu mhutasi.

Bachelor of science in rural development, unakwenda kujiajiri au kuajiriwa? Degree zingine zipo tu ili malecturer wapate mishahara na kujiendeleza ili watape PhD

Endeleeni kusubiri ajira hadi Yesu Kristu atakaporudi!
 
Mtoa Mada Mpumbavu

1)Hilo uwalimu kuwa na Mass Employment lipo miaka na miaka tangu tupo wadogo kwanini hukuliona hilo na kuchagua uwalimu...ni ujinga wako wa kuchagua bumunda wakati toka mtoto unajua keki ndio tamu.

2)Sababu kubwa ya watoto wa maskini kusoma Uwalimu ni Mass Employment 90% ya mates pale College ya elimu wamechagua uwalimu kwaajiri hii hilo lipo miaka na miaka sasa wewe kama mtoto wa tajiri wacha upumbavu.

3)Uwalimu una faida na hasara
*Faida Mass Employment
*Hasara maslahi madogo na kila mtu kuwa Boss wako

Wewe kwanini umeenda kwenye Faida nakohoji kwanini Faida hii mbona ujaenda kwenye hasara za uwalimu ukahoji kwanini hawana maslahi....HIYO NI ROHO YA KICHAWI NA KISHETANI.

Kama unalilia haki sawa kwenye ajira pia ungelilia haki sawa kwenye maslahi...hii formula haipo kwa bahati mbaya ni Balance.

Nikwambie tu kitu pekee kinachofanya watu wasome uwalimu ni urahisi wake wakupata ajira na Mass employment kipengere hiko kikitoweka hakuna atakayesoma uwalimu...Look it is Proud kujiita mimi MHASIBU na pochi nene But kwa Mwalimu it is Insane kusema mimi MWALIMU so value pekee iliyo kwenye uwalimu ni Entrace yake kwenye ajira.

Falsafa hizi zote ilibii uzitambue kabla ya kuingia Chuoni ni upumbavu unaouleta hapa kamlilie mwalimu wako ambae hakukufundisha Carrier Selction.

Na koma kuingilia taaluma za watu pambana mpambano wako pekeyako.
 
Pumbavu aliyekuzaa.Unadhani saizi tukisema Kati ya walimu na watu wa afya against fani zingine wapi wanakabiliwa na tatizo la mass unemployment?

Eti maslahi madogo kwani unadhani fani zingine zina maslahi makubwa?

Ndio maana nikimsikia mtu anatetea waalimu namuonaga ni mpumbavu kama wewe,uache kutetea wakulima wako hoi na wasio na ajira huko utetee waalimu? Kama maslahi madogo mbona hawaachi Kazi ndio wanazidi kukimbilia?

Jibu ni moja tuu kitaani hakulipi tena
 
Mkulima anahusika vipi na mada inayohusiana na taaluma,

Ukulima ni taaluma ??
Kuna ajira za Wakulima ??

Pumbavu kabisa kalilie walimu wako
 
Back
Top Bottom