Ajira sekta ya afya

empire 5

Member
May 26, 2016
52
18
Siku chache zilizopita kupitia wizara ya afya kuna shirika lilitangaza ajira za dharura za Aco na nurse nazo muda huohuo zikasitishwa,je nilini serikali itatoa ajira hizo pamoja na kada zingine?Mwenyekujua atujuze.

Wakuu nawasilisha.
 
Back
Top Bottom