ajira mpya walimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ajira mpya walimu

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Acha Dhambi, Jan 23, 2012.

 1. Acha Dhambi

  Acha Dhambi Senior Member

  #1
  Jan 23, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 138
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  jamani lile file la majina ya walimu wa shahada waliopangiwa kituo halipo tena katika web ya wizara ya elimu, iliyoko ni heading yake tu kulikoni?
   
 2. S

  Skype JF-Expert Member

  #2
  Jan 23, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,284
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Kwa taarifa nilizonazo ni kwamba kuna majina ya walimu walioajiriwa miaka ya nyuma yaliingizwa kimakosa kwenye orodha ya majina ya walimu wapya walioajiriwa mwaka huu, hali kadhalika kuna majina ya walimu wapya hayakuwekwa kwenye orodha hiyo ya ajira, hivyo kuna marekebisho yanafanyika na orodha itatoka hivi karibuni.
   
Loading...