GANA BANKS
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 598
- 853
Habari za wakati huu wakuu,kama "heading" inavyojieleza maana hata maandiko ya vitabu vitakatifu vilisisitiza kutokutegemea akili yako pekee.
Nimekuja kuomba ushauri Je,niombe tena hizi ajira za uhamiaji au napoteza muda na pesa(Ninapozungumzia pesa nazungumzia mambo kadhaa kama stationary,kupita kwa wanasheria na Serikali za Mitaa ili kuacha chochote kitu) kama ilivyokuwa hapo awali Maana hizi ajira zimekuja kwa mara ya pili,ila kwa mara ya kwanza niliangukia pua.
Ushauri wenu na mawazo yenu nadhani yatanijenga zaidi.
Naomba kuwasilisha,Natanguliza shukrani za kipekee kwenu.
Mtaniwia radhi kwa uandishi M-bovu ila ujumbe nimeufikisha vyema.