Ajira mpya kwa vijana watundu


khaliciouz

khaliciouz

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2013
Messages
659
Likes
147
Points
60
khaliciouz

khaliciouz

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2013
659 147 60
Tunahitaji vijana watatu watakaoweza kufanya kazi ya ublogger.

Parttime/ full time

Wawe na computer au smartphone
na pia ujuzi kidogo kwenye matumizi ya mitandao ya kijamii hasa facebook groups.

Mshahara ni mzuri na offer kibao

Whatsapp ukianza na text kazi
To

0713 774746
 
khaliciouz

khaliciouz

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2013
Messages
659
Likes
147
Points
60
khaliciouz

khaliciouz

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2013
659 147 60
Taja majukumu na mshahara watu wachangamkie kazi
Majukumu ni kuwa editor wa blog na kushare habari kwenye mitandao ya kijamii ukifikisha viewrs laki 1 unalipwa elfu 70. Njia na vitendea kazi vya kufikisha hiyo na zaidi vipo.
 
google helper

google helper

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Messages
3,206
Likes
2,754
Points
280
google helper

google helper

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2013
3,206 2,754 280
Itakuwa sio nilipokuwa naenda sorry.
 
Jambazi

Jambazi

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Messages
16,320
Likes
15,670
Points
280
Jambazi

Jambazi

JF-Expert Member
Joined Jan 18, 2014
16,320 15,670 280
Mshahara ni mzuri na offer kibao


Hadi ufikishe view 1k kwa Elfu 70 unacheza na akili za wabongo wewe!!
 
nobody knows but me

nobody knows but me

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2016
Messages
528
Likes
357
Points
80
Age
29
nobody knows but me

nobody knows but me

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2016
528 357 80
Ahaa...kwanini usingefanya altleast 100k kwa hao watazamaji 100k.?
ambapo itakuwa na maana hii, kwa kila viewer mmoja, mtu atalipwa sh.1.
 
EMII

EMII

Member
Joined
Jul 11, 2016
Messages
71
Likes
34
Points
25
Age
28
EMII

EMII

Member
Joined Jul 11, 2016
71 34 25
Majukumu ni kuwa editor wa blog na kushare habari kwenye mitandao ya kijamii ukifikisha viewrs laki 1 unalipwa elfu 70. Njia na vitendea kazi vya kufikisha hiyo na zaidi vipo.
Kuwa editor means content mnaandaa ninyi then kazi ya editor ni kuiweka Sawa (edit) hiyo content before publishing... Sio??
 
rama bendu

rama bendu

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2015
Messages
316
Likes
218
Points
60
rama bendu

rama bendu

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2015
316 218 60
Majukumu ni kuwa editor wa blog na kushare habari kwenye mitandao ya kijamii ukifikisha viewrs laki 1 unalipwa elfu 70. Njia na vitendea kazi vya kufikisha hiyo na zaidi vipo.
Hamko serious
 
muvika online

muvika online

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2016
Messages
330
Likes
225
Points
60
muvika online

muvika online

JF-Expert Member
Joined Nov 27, 2016
330 225 60
unatumiwa txt halafu hujibu ndo nini inaonekana haupo serious, kama vp toa huu upuzi humu
 

Forum statistics

Threads 1,272,952
Members 490,211
Posts 30,465,791