Ajira kwa wasoma sanaa.

Miss DMDAM

Member
May 8, 2019
6
1
Habari, ningependa kuuliza, je wanaosomea mambo ya sanaa ngazi ya degree...kupatikana kwa ajira kwa ajili yao ni rahisi au laa???
Naombeni majibu.
 
Ndo nipo naosoma.
Kama umeshaanza kusoma haina jinsi ila ungekuwa hujaanza kusoma ningekushauri ubadilishe usome sheria au ukishindwa hata sociology unaweza ukabahatisha ajira kwenye Ngo.
Mambo ya sanaa hayana formula ila inataka uwe mbunifu na mjanja mjanja tu Kama walivyo akina Mrisho mpoto ndio unatusua.
Ila ukiwa mtu wa kukariri tu maisha unakwama.
 
Habari, ningependa kuuliza, je wanaosomea mambo ya sanaa ngazi ya degree...kupatikana kwa ajira kwa ajili yao ni rahisi au laa???
Naombeni majibu.
Usikatishwe tamaa kitu unachokifanya kinalipa sana endapo hutofanya kazi kama mwenye degree, ukimaliza weka degree ndani chukua sanaa leta mtaani, sanaa pana sana inategemea k2 gani utakuwa unakiweza kwa usahihi
 
Mpeleke veta huyo.. Kote kugumu hakuna science wala Sanaa mwisho wa siku kitaani hakuna mahusiano na alivyosomea
 
Back
Top Bottom