Miss DMDAM
Member
- May 8, 2019
- 6
- 1
Habari, ningependa kuuliza, je wanaosomea mambo ya sanaa ngazi ya degree...kupatikana kwa ajira kwa ajili yao ni rahisi au laa???
Naombeni majibu.
Naombeni majibu.
Unasomea sanaa gani,toa maelezo zaidi?Habari, ningependa kuuliza, je wanaosomea mambo ya sanaa ngazi ya degree...kupatikana kwa ajira kwa ajili yao ni rahisi au laa???
Naombeni majibu.
Unasomea sanaa gani,toa maelezo zaidi?
Bachelor of?
Hii kozi ndio umeanza kusoma au ndio umemaliza kusoma?funguka zaidi upate kusaidikaBachelor of Arts in Fine Arts and Design
Hii kozi ndio umeanza kusoma au ndio umemaliza kusoma?funguka zaidi upate kusaidika
Kama umeshaanza kusoma haina jinsi ila ungekuwa hujaanza kusoma ningekushauri ubadilishe usome sheria au ukishindwa hata sociology unaweza ukabahatisha ajira kwenye Ngo.Ndo nipo naosoma.
Ajira zipo nyingi sana kama unasoma ukiwa umeplan kusoma hiyo kozi ila kama unasoma sababu ulikosa kuchaguliwa kozi zingine basi ajira hamna.Bachelor of Arts in Fine Arts and Design
Uko udsm we sister si kweli?
Unakuwa km chemical.Bachelor of Arts in Fine Arts and Design
Unakuwa km chemical.
Usikatishwe tamaa kitu unachokifanya kinalipa sana endapo hutofanya kazi kama mwenye degree, ukimaliza weka degree ndani chukua sanaa leta mtaani, sanaa pana sana inategemea k2 gani utakuwa unakiweza kwa usahihiHabari, ningependa kuuliza, je wanaosomea mambo ya sanaa ngazi ya degree...kupatikana kwa ajira kwa ajili yao ni rahisi au laa???
Naombeni majibu.