Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,628
- 6,669
Ni takribani miaka miwili sasa tangu ajira kutoka kada zote kusitishwa huku mtaani wasomi wakiongezeka wasijue nini cha kufanya maana wengi kimbilio lao ni ajira za serkali
Ni muda sasa ukimya umetamalaki yaani asitokee ata mtu kuhoji ni lini ajira zitatoka rasmi
Mpaka sasa makontena ya wasomi ni yapo mawili huku mtaani wasijue nini kinaendelea, na hivi mda mfupi ujao kontena la tatu linakaribia!
Wasomi wote hawa wataenda wapi pasi na ajira na kazi za uhakika?
Ni muda muafaka sasa watawala wetu waweke siasa pembeni, watukumbuke walimu wa sanaa, na kada zingine zote na ajira zitoke kama ilivyokuwa enzi za Jk!