mshakamshaka
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 299
- 558
Soko la ajira limekaaje kwa sasa kwa hizi kozi za Public Admnistration and Human Resource Management.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Kozi zenye nafasi nyingi ni za Afya,uhandisi,tiba ya mifugo,ualimu wa sayansi,upimaji ardhi na ramani,usanifu majengo,Kozi yenye nafasi nyingi za kazi hapa TZ ni ACCOUNTING & FINANCE.
45% ya matangazo ya kazi zinahusiana na hapo. Kama ungepata mshauri mzuri ungejikita huko. Wahitimu ni wengi ila pia kazi ni nyingi
Karibu tuanze biashara ya kuuza/kutembeza mitumba inalipaSoko la ajira limekaaje kwa sasa kwa hizi kozi za Public Admnistration and Human Resource Management.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli afya hiyo wapi? Uhandisi huo wa nini? Maji, umeme au nn... Accounting and finance inatoboleka kwa urahisiKozi zenye nafasi nyingi ni za Afya,uhandisi,tiba ya mifugo,ualimu wa sayansi,upimaji ardhi na ramani,usanifu majengo,
Kwenye accounting ni hadi uwe CPA ndiyo ajira angalau zinaonekana.
Hizo taaluma zina watu wengi sana kuliko mahitaji, mahitaji ya sasa ni CPAS kwa wing I ndiyo kuna shortage,Sio kweli afya hiyo wapi? Uhandisi huo wa nini? Maji, umeme au nn... Accounting and finance inatoboleka kwa urahisi
Unataka kusema utitiri wa degree za udaktari, diploma za afya ni sawa na utitiri wa degree na diploma za uhasibu?Saivi wasomi wapo kila sehemu afya wapo kama utitili, kozi nzuri connections tuu mjini ukiona huna soma kozi ya kujiajili mengine yatakuja mbeleni tuu.
Unataka kusema utitiri wa degree za udaktari, diploma za afya ni sawa na utitiri wa degree na diploma za uhasibu?
Kazi sasa hivi kwa Tanzania ni mchongo tu ila ukiwa bado unasoma ndo unakuwa na imagination kibao nasoma HGL,HGK,HKL NK ili nije niwe nani? Selection za form 5 zimetoka mdogo wangu alikuwa na ndoto kusoma PCB au PCM lakini hakufaulu ktk level inayostahili kachaguliwa HGL ananiuliza eti kaka nasoma HGL nije niwe nani? Nikamwambia nenda kasome ufaulu ,uende chuo nitakwambia kozi ya kusoma halafu ajira nitajua mbele ya safariSoko la ajira limekaaje kwa sasa kwa hizi kozi za Public Admnistration and Human Resource Management.
Sent using Jamii Forums mobile app