Ajira Kuwait

Kwa wanaohotaji kazi ng'ambo ya nchi.

Wanahitajika watu wa kazi zifuatazo taasisi mbalimbali nchini KUWAIT.

1. Cleaners ( 100 )

2. Security Guard ( 80 )

3. Light drivers ( 50 )

Kampuni inatoa huduma zifuatazo;

+ Accommodation
+ Transport
+ Medical Insurance
+ Ticket
+ No food
+ 2 years contract

Mshahara sio chini ya 190KD kwa hizo kazi.

Sharti

1. Uwe na pass ya kusafiria

2. Utalipia gharama ya 20% ya mshahara wako kwa wakala wa ajira baada ya VISA na MKATABA WA KAZI kutoka kabla ya kusafiri.

Karibu.
20% ya mshahara wa kwanza au kila mshahara?
 
Nawaonya HUSITHUBUTU,narudia HUSITHUBUTU,nasisitiza HUSITHUBUTU,nakazia HUSITHUBUTU kwenda huko bila kuunganishwa na mtu unayemjua wewe mwenyewe

Jpili njema ila msisahu ilo neno lenya herufi kubwa.
Hilo neno lina maana gani kwa kiswahili please tusaidie sie waswahili tupate kuelewa
 
Kwa wanaohotaji kazi ng'ambo ya nchi.

Wanahitajika watu wa kazi zifuatazo taasisi mbalimbali nchini KUWAIT.

1. Cleaners ( 100 )

2. Security Guard ( 80 )

3. Light drivers ( 50 )

Kampuni inatoa huduma zifuatazo;

+ Accommodation
+ Transport
+ Medical Insurance
+ Ticket
+ No food
+ 2 years contract

Mshahara sio chini ya 190KD kwa hizo kazi.

Sharti

1. Uwe na pass ya kusafiria

2. Utalipia gharama ya 20% ya mshahara wako kwa wakala wa ajira baada ya VISA na MKATABA WA KAZI kutoka kabla ya kusafiri.

Karibu.
Hapo yanayo hitajika ni:
1. Figo
2. na viungo vingine muhimu vya BINADAMU
 
Unajua swala za ajira za mataifa kama hayo na kwingineko yanayokosa legality elements huwa yana ukakasi given mazingira ya sasa kuwa kuna swala la human trafficking.

Kuna watu wanachukuliwa hivyo hivyo ila wanapofika huko mambo yanakuwa ni mengi. Wapo wanaofanikiwa na pia wapo wanaofeli.

Kuna human organ harvesting. Mambo ni mengi sana.

Ni vema tukawa makini sana wadau.....


Na jambo la msingi la kuzingatiwa ni kwa wale mnaokwenda taifa lolote hakikisha kuna ubalozi wa Tanzania na wawe na taarifa za uwepo wako katika inchi husika.... Acha address ya utapokwenda kuishi na majina na vitambulisho vya mwenyeji wako na details zote muhimu.
 
Mzee wangu alienda Saudi waliahidiwa mishahara minono.Walipofika wakanyang’anywa passports mshahara chini mateso juu ya mateso.Go West go East home is the best
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom