Ajira Kuwait

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Jul 26, 2017
948
1,092
Kwa wanaohotaji kazi ng'ambo ya nchi.

Wanahitajika watu wa kazi zifuatazo taasisi mbalimbali nchini KUWAIT.

1. Cleaners ( 100 )

2. Security Guard ( 80 )

3. Light drivers ( 50 )

Kampuni inatoa huduma zifuatazo;

+ Accommodation
+ Transport
+ Medical Insurance
+ Ticket
+ No food
+ 2 years contract

Mshahara sio chini ya 190KD kwa hizo kazi.

Sharti

1. Uwe na pass ya kusafiria

2. Utalipia gharama ya 20% ya mshahara wako kwa wakala wa ajira baada ya VISA na MKATABA WA KAZI kutoka kabla ya kusafiri.

Karibu.
 
1. Cleaners (100)

2. Security Guard (80)

3. Light drivers ( Nafasi 50 )

Kampuni inatoa huduma zifuatazo;

+ Accommodation
+ Transport
+ Medical Insurance
+ Ticket
+ No food

Mshahara sio chini ya 190KD kwa hizo kazi.

Sharti

1. Uwe na pass ya kusafiria

2. Utalipia gharama ya 20% ya mshahara wako kwa wakala wa ajira baada ya VISA na MKATABA WA KAZI kutoka kabla ya kusafiri.

Karibu.

Kwa hiyo hapo umeshamaliza tangazo kwamba watu wanatuma maombi kwenye uongozi wa JamiiForums au...?

Kazi hazina qualifications zozote wala website ya hao recruiters hakuna pia...?

Wabongo tujifunze kujiongeza unless kama umeamua kupoteza muda tu kuchangamsha baraza lakini kama kweli upo serious sidhani kama inatakiwa kuwa hivyo ndugu.
 
Kulipia 20% ya mshahara ambao hata hivyo hujalipwa kabla ya kusafiri? Really, huu si utapeli kwa njia ya kistaarabu? Hizi kazi hawawezi kufanya vijana wasiokuwa na ajira wenyeji wa huko wasio na ajira ama wenye ajira zisizotosheleza mahitaji?
 
Sorry brother.

1.Kwa upande wa dereva uwe na leseni yako na uwe kweli umepata mafunzo ya udereva hapa nchini.

2. Kuhusu ulinzi na usafi hakuna taaluma inayohitajika.

NB

Masharti kuzingatiwa.
 
Kulipia 20% ya mshahara ambao hata hivyo hujalipwa kabla ya kusafiri? Really, huu si utapeli kwa njia ya kistaarabu? Hizi kazi hawawezi kufanya vijana wasiokuwa na ajira wenyeji wa huko wasio na ajira ama wenye ajira zisizotosheleza mahitaji?
Ukipata VISA na Ukasaini Mkataba ndio unatoa 20% ya huo mkataba wako. Hapo shida iko wapi ndugu?
 
Kwa wanaohotaji kazi ng'ambo ya nchi.

Wanahitajika watu wa kazi zifuatazo taasisi mbalimbali nchini KUWAIT.

1. Cleaners ( 100 )

2. Security Guard ( 80 )

3. Light drivers ( 50 )

Kampuni inatoa huduma zifuatazo;

+ Accommodation
+ Transport
+ Medical Insurance
+ Ticket
+ No food
+ 2 years contract

Mshahara sio chini ya 190KD kwa hizo kazi.

Sharti

1. Uwe na pass ya kusafiria

2. Utalipia gharama ya 20% ya mshahara wako kwa wakala wa ajira baada ya VISA na MKATABA WA KAZI kutoka kabla ya kusafiri.

Karibu.
Hio 190KD ni sawa na dola 58.
so mshahara haufiko hata laki na nusu
 
Kwa ushauri tu, Kama unapata nafasi ya kwenda huko hakikisha unaujuzi wowote Kama, udereva, uendeshaji mitambo, welding, umeme, uashi nk ila Kama huna ujuzi wowote ni ngumu Sana kutoboa Bora ubaki bongo
 
Kwa hiyo hapo umeshamaliza tangazo kwamba watu wanatuma maombi kwenye uongozi wa JamiiForums au...?

Kazi hazina qualifications zozote wala website ya hao recruiters hakuna pia...?

Wabongo tujifunze kujiongeza unless kama umeamua kupoteza muda tu kuchangamsha baraza lakini kama kweli upo serious sidhani kama inatakiwa kuwa hivyo ndugu.
Yuko sawa ikiwa nae ni wakala, nadhani kafanya hivi ili apate zile 20%
 
Nawaonya HUSITHUBUTU,narudia HUSITHUBUTU,nasisitiza HUSITHUBUTU,nakazia HUSITHUBUTU kwenda huko bila kuunganishwa na mtu unayemjua wewe mwenyewe

Jpili njema ila msisahu ilo neno lenya herufi kubwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom