Ajira kizungumkuti, watu 120,000 wawania nafasi 9,675 zilizotangazwa na Serikali

mshale21

JF-Expert Member
Apr 8, 2021
2,050
4,903
Wasalaaaam!!

Hizi nafasi za ajira zilizotangazwa na Serikali tar 9/5/2021 zimetoa mwanga ni kwa namna gani vijana wengi wamehitimu na hawana kazi wako mitaani na wengine wakijitolea katika ofisi mbalimbali!

Inastaajabisha kuona watu 120k kwa sekta mbili tu wakitifuana katika soko la ajira za serikali huku demand ya serikali ikiwa 9k, vipi walio jobless na wako katika sectors nyinginezo tofauti na afya na elimu?

Kuna haja ya serikali kuangalia upya hili suala la ajira, huku ikizingatia kutoa sera na mitaala inayowawezesha vijana kujiajiri moja kwa moja kuliko kusubiria kujiariwa!

IMG_20210524_075911.jpg
 
Hahahahaha hatar kumbe kitaa kuna graduates wengi kiasi hichi duu...
Na Bado wanazidi kuhitimu,

huku kitaa wengine toka 2012 Wana apply tu Kila mwaka bila mafanikio mpaka wanazeeka!

Haya ndo madhara ya kuendeshwa na viongozi wapenda siasa badala ya kuenenda na uhalisia uliopo na kuzitatua changamoto!
 
Duuuu na hao ni waalimu peke yao bado kada zingine kama engineering, na nk...
 
Kwa International standard huwa ni 3/1 kama nafasi ni 9765 times 3 kwa hiyo wanaoakiwa kuitwa kwa usaili ni 29,295
 
Wasalaaaam!!

Hizi nafasi za ajira zilizotangazwa na Serikali tar 9/5/2021 zimetoa mwanga ni kwa namna gani vijana wengi wamehitimu na hawana kazi wako mitaani na wengine wakijitolea katika ofisi mbalimbali!

Inastaajabisha kuona watu 120k kwa sekta mbili tu wakitifuana katika soko la ajira za serikali huku demand ya serikali ikiwa 9k, vipi walio jobless na wako katika sectors nyinginezo tofauti na afya na elimu??

Kuna haja ya serikali kuangalia upya hili suala la ajira, huku ikizingatia kutoa sera na mitaala inayowawezesha vijana kujiajiri moja kwa moja kuliko kusubiria kuajiriwa!

View attachment 1796076
Na hii ni sekta mbili tu ( 2015- 2020 )

Hapo wengine hawajaomba 🤣
 
Kwa International standard huwa ni 3/1 kama nafasi ni 9765 times 3 kwa hiyo wanaoakiwa kuitwa kwa usaili ni 29,295
Lakin watakaotakiwa kupata ajira Bado ni walewale, afu cdhan kama mfumo wetu wa ajira unafuata mambo ya interviews!
 
Wakala wa vipimo walitangaza nafac 55 waliitwa kwenye interview walikua 955 just imagin uhaba uliopo na hapo kutakua na nafac za watu 10 labda wa viongozi,zibaki 45 ndo mpambanie,daah
 
Wakala wa vipimo walitangaza nafac 55 waliitwa kwenye interview walikua 955 just imagin uhaba uliopo na hapo kutakua na nafac za watu 10 labda wa viongozi,zibaki 45 ndo mpambanie,daah
Ikiendelea namna hii, watu wataacha kusomesha watoto wao na wasomi wasio na ajira watanyanyua mabango juu huku wakiandamana!
 
Back
Top Bottom