Ajira kizungumkuti, watu 120,000 wawania nafasi 9,675 zilizotangazwa na Serikali

Mkuu ninasikia hizi zilikuwa ni za kujaza nafasi lakini ajira rasmi bado, na probably ni mwezi july.

Kunaweza kuwa na ukweli kwenye hilo ?
Ni kweli. Rais alisema hivyo.

Ajira rasmi bado, zilizotoka ni za kuziba gaps.

Sema, ndio hivyo uhakika wa ajira mpya ndio haujulikani kama watatoa mapema.
 
Back
Top Bottom