Ajira kiwandani au mtaji, msinilazimishe kuwa mkulima

SAUTI YAKO

JF-Expert Member
Jan 25, 2014
2,944
2,030
Ahadi zao kwakwe ndizo zilizomfanya dogo awape kura yake uchaguzi ulopita anadai alijua angepewa mtaji kupitia mpango ule wa milion hamsin kila kata,sasa amini macho yake anapoambiwa hakuna tena kucheza pool asubuh bal atangulie shambani,

Sasa alikuwa akitaka akiwezeshwa anunue boda boda lakin mpango wake ndio umefeli hana raha maana alikuwa akipewa deiwaka na wenzie ya kuendesha toyo lakin kutokana na hali ilivyo hakuna kuachiana toyo siku hizi kila mtu anakaba,tumeshamaliza siku zaidi ya mia sasa ta nzania ya viwanda namwambia atangulie sham ba akaisubil huko huko.

Nimempa siku kumi na 4 ya kunitajia zana za kilimo hazitakazo nimn unulie,Yeye anadai unataka mkopo akanunue toyo,au ajira kiwandan ili ajichange anunue toyo lakin sio kumlazimisha kurud shamba
 
A had zao kwakwe ndizo zilizomfanya dogo awape kura yake uchaguzi ulopita anadai alijua angepewa mtaji kupitia mpango ule wa milion hamsin kila kata,sasa amini macho yake anapoambiwa hakuna tena ku cheza pool asubuh bal atangulie shambani,Sasa alikuwa akitaka akiwezeshwa anunue boda boda lakin mpango wake ndio umefeli hana raha maana alikuwa akipewa deiwaka na wenzie ya kuendesha toyo lakin kutokana na hali ilivyo hakuna kuachiana toyo siku hizi kila mtu anakaba,tumeshamaliza siku zaidi ya mia sasa ta nzania ya viwanda namwambia atangulie sham ba akaisubil huko huko.
Nimempa siku kumi na 4 ya kunitajia zana za kilimo hazitakazo nimn unulie,Yeye anadai unataka mkopo akanunue toyo,au ajira kiwandan ili ajichange anunue toyo lakin sio kumlazimisha kurud shamba

huo mtaji si ungeenda kwa muhindi ku bet wote ...
 
Back
Top Bottom