Ajira information system

curry_atomic

Member
Mar 30, 2020
41
125
Habarii wana familia mimi ni kijana niliemaliza Bachelor of science in information systems mwaka huu.

Nimekuja kwenu kwa ombi la kuomba kwa yoyote anaefahamu kuna sehem wanahitaji mtu wa I.T aweze kunisaidia nitashukuru sana pia nipo tayari kufanya sehem kama intern nipate mafunzo katika tasisi yoyote lengo ni kupata experience ya kazi inisaidie kusonga mbele katika ushindani wa ajira.

Nina ujuzi katika mamb yafuatayo
1.System development using frameworks (Laravel, Spring boot,Spring mvc)
2.Database design and implementation (Mysql, Microsoft sql server)
3.Nafahamu programming language zifwatazo (Java,Php,javascript)
4.Na ujuzi wa kati katika web services kwa kutumia spring boot
5.Na ujuzi wa kati katika mamb ya machine learning na deep learning kwa kutumia python
5.Na fahamu networking routers and routing protocols kufanya configuration za routers ingawa nikiwa chuoni sikufanya na real device tulikua tunafanya simulation kwa kutua tools kama pakcet tracer
6.Ni system analyst

Natanguliza shukrani.
 
Yelawolf49

Member
Sep 20, 2017
62

Ushauri wa kwanza nenda Taesa kajisaili

Pili fanya projects kadhaa weka kwa repo github hii itakupa wewe confidence na future employer evidence ya kuwa unajua

Tatu fungua profile ajira portal utume maombi ya kazi usitishike kama uko vizuri kazi zipo bila connection wala nini

Nne jisajili linkedin omba zile jobs kule watu huwa tunadharau linkedin ila iko na jobs

Kila la kheri boss
 
Shukranii sanaa nime uelewaa ushauri wako
 
Godwin peter

Senior Member
May 12, 2019
162
250
Ninamashaka na mtoa mada juu ya ujuzi ulioandika hapo,huwezi ukajua hizo skills halafu unakuja humu kuomba kazi tena intern...Hizo skills zinahitaji muda kuzijua na katika hustle ya kuzijua utakuwa kuna connection ya watu wengi ambapo huwezi kosa pa kufanyia kazi
 
curry_atomic

Member
Mar 30, 2020
41
125
Ninamashaka na mtoa mada juu ya ujuzi ulioandika hapo,huwezi ukajua hizo skills halafu unakuja humu kuomba kazi tena intern...Hizo skills zinahitaji muda kuzijua na katika hustle ya kuzijua utakuwa kuna connection ya watu wengi ambapo huwezi kosa pa kufanyia kazi
Mkuu unamfahamu ni mdaa gaan nimeaza kujifunza hayo mambo??? pia mi ni fresh graduate ndo kwanz naaza ingia kweny industry kila mtu ana channel yake katika maisha kama wew ulikua na watu behind wakakunyanyua safi mshukuru Allah mi ndio mweupe naaza.....nafanya project ndogo ndogo nazo mpaka mtu atokee anipe io tenda na ni nadra kwa sasa watu wanawapa project makampuni makubwa au watu wenye experience kubwa wawafanyie kazi....nikikaa mtaani ntaishia kutengeneza project zangu binafsi ambazo hazitakua na ujila wowote kwa sasa natafuta experience na exposure ndomana nataka nipate intern ili iweze nifunza mengi kupitia intern ntapata connection nyingi naamini..........Tukikaa mtaani tabu tukihangaika kama iv mara ohoo huna ujuzi uo........nimefanya project na Laravel na nying niwafanyia final year project kwa ma group ambayo walikua hawezi ku code....lakin mpaka leo hakuna kazi inayokujaa kazi wanapewa makampuni ya kuaminika nataka niingie kweny izo organization nikapate ujuzi zaid..... Usi zarau alicho nacho mtu mzee
 
Mimi sijakudharau, unataka kusema hizo skills ulizonazo umesoma kwa muda gani? Mwaka sio? Onesha projects zako ulizokwishafanya hapa au GitHub profile yako tuone
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom