Ajira hazipo, je kazi ziko wapi?

Mniombee

Member
Dec 14, 2018
43
93
Wakuu nawasalimu,

Bado njaa ni kali sana mtaani, nilikuwa naomba basi, popote pale ulipo nchini tupeane taarifa ya shughuli za vibarua zinazopatikana mazingira ulipo, iwe kiwandani, ktk miradi ya kiserikali ama binafsi inayohitaji nguvu kazi, shughuli binafsi endelevu unahitaji vibarua, nitasafiri nije nichape kazi. Tunatamani kujiajiri japo kwa mitaji midogo lkn kuipata hiyo midogo pia ni changamoto, cha kusikitisha hata vibarua vya saidia fundi siku hz vinahitaji uwe na koneksheni na mafundi, twafwaa! Nicheki kwa pm, simu 0689400903, au hapa jukwaani. Asanteni!
 
Back
Top Bottom