Ajira BBC

Status
Not open for further replies.

Dua

JF-Expert Member
Nov 14, 2006
3,230
657
Tangazo la ajira BBC

20060112103214studio203.jpg


BBC inatangaza ajira ya uandishi na utangazaji katika ofisi ya Nairobi. Idhaa ya Kiswahili ya BBC inapenda kuwatangazia wasikilizaji na wasomaji wetu kuhusu ajira kadhaa katika ofisi ya Nairobi, utangazaji, uandaaji wa vipindi na uandishi. Ajira ya utangazaji na usimamizi wa matangazo katika ofisi yetu ya Nairobi.

Bilingual Journalist, Nairobi (151167)

Unachotakiwa kufanya ni kuzuru tovuti ya ajira ya BBC kujisajili kwanza ndipo utaweza kuwasilisha maombi yako ya kazi, BBC HAIPOKEI MAOMBI KWA NJIA YA POSTA.
Tafadhali zingatia muda wa mwisho wa kuwasilisha maombi, yale yatakayochelewa hayatapokelewa.
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Top Bottom